Mtali
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 4,053
- 3,484
Taarifa zinazosambaa kwa kasi mitandaoni muda huu ni kwamba
JUliana Shonza amehamia CCM mdua huu NA KUPOKELEWA NA MWENYEKITI WA CCM TAIFA.J.K KIKWETE
Dr J.Kikwete awapokea
Amefuata mume huko....
Taarifa zinazosambaa kwa kasi mitandaoni muda huu ni kwamba
JUliana Shonza amehamia CCM mdua huu NA KUPOKELEWA NA MWENYEKITI WA CCM TAIFA.J.K KIKWETE
Dr J.Kikwete awapokea
Amefuata mume huko....
Inavyo onekana huyo prezoo ndiye alikuwa mwezeshaji, je yeye alikuwa anawezeshwa na nani?? Kwa ufupi mipango yoote ni kwa Nape Lumumba ndiko ilikopangiwa kwa hiyo hao ni watu wao, kabaki boss wao sijui ana mipango gani, this is a proved case,wait and see !!!Ben Saa Nane anastahili pongezi kwa hili, big up Ben!!!Maskini, Prezoo aliwaingiza mkenge ngoma ilipokolea yeye aliyehamasisha wenzake kuwa wasicheze akaingia na kuwa wa kwanza kuonyesha ufundi sasa watoto wa watu hawa wafanye nini ????
Ila naona kama Zambi Godfrey kapewa ujumbe kuwa jimbo linaondoka
ametumia uamuzi wa busara kujiunga na chama chenye mpangilio mzuri wa uongozi ndani ya chama
Msambaa mmoja havunji soko....................!!!!
Hii ni habari mbaya kwa wanaharakati wa ukweli ndani ya CCM; ni upuuzi mwingine kuwapokea kundini waapuuzi kutoka Chadema; hakika Shonza hutadumu kwenye chama cha wanyonge kwa umalaya wako wa kisiasa; Shonza rudi kwenu Cdm ukaendeleze upuuzi na utoto, Wanaharakati wa ukweli ndani ya CCM hatukutaki hata kama umepokelewa na Mwenyekiti wa Chama