si anajihakikishia chupi mpyaHuyu ana hadhi ya kupokelewa na mwenyekiti taifa? Kikwete unaidhalilisha hadhi yako.
alikotoka ni kuchafu anenda kusafiKila la kheri katika safari yako kisiasa, usisahau ulipotoka tu !
Sio kwamba anagombea Mkuu bali anajidai yeye bado ni mwenyekiti BAVICHA, mamluki wa magamba kaamua kwenda livu, asalimie Nape na CO yake !!!!haaa haaaa
halafu bado anataka kugombea uenyekiti wa BAVICHA
this is increadible
Hapo chacha.....Hekaheka zooote zile mwisho wake ulikuwa ni huo.
Sasa amehamia vipi huko wakati yeye ni Makamu Mwenyekiti wa Bavicha na ana mpango wa kugombea uenyekiti wa Bavicha uchaguzi ujao?
alikotoka ni kuchafu anenda kusafi