Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

amehamia yeye pamoja na mtela mwampamba ..kila la kheri huko njaa mbaya
 
Vitoto vidogo visumbufuuuuuuuuuuu mbele ya wazazi, Usigombane na mama Rz tu
 


543667_10200318953750526_1713528751_n.jpg

​
Kamwe sitakuja kukubali kuvaa haya manguo ya laana maishani mwangu. Wakati anajiandaa kulamba matapishi yake na kushiriki kuua Tembo na Kinana ajaribu kuwahurumia hawa akina mama wenzake

attachment.php
 
Duuuh kelele zote zile. Iwe fundisho kwa chadema inabidi icghunguze watu wanaokuja na kunza kuchafua hali ya hewa.
 
Mamluki huyo ss mwendo mdundo mpaka kieleweke unafiki dhuluma ufisadi wizi ubepari ukoloni hauna nafasi Chadema nenda mwana kwenda. Ukakae benchi mpaka makalio yaoze mpaka wazee waishe na ww ndo upate nafasi
 
Jamani dada kumbe huna itikadi za kipinzani.Kama hao magwanda wamekuzingua bora hata ungehamia vyama vingine pinzani au kuanzisha chama chako kabisa.Kuhamia CCM umeenda kujimaliza kisiasa kabisa.Pole sana.
 
Amevaa uzalendo! Lakini mbona kumejaa mafisadi? Mroho wa madaraka huyo! Kwakuwa alikuwa na jina cdm basi amefika na atapewa nafasi ili kuiangamiza cdm. Tungoje mabomu mengine yanayotokana na uozo au uvundo uliomo ndani ya cdm Shonza atakayodondosha. Siasa bwana! Full kuchafuana.
Mi sidhani kama ndani ya CDM kuna uozo, kama ungekuwepo vibaraka wa ccm ndani ya CDM wangekuwa matajiri sana kwa kuwauzia habari wakina NAPE. Huyo dada kama ameamia ccm basi atakuwa amejimaliza mwenyewe. CCM ni chama cha mashetani, ukijiunga basi ujue utatenda yaliyo mabaya.
 
Safi sana Chadema, timua magamba yote sasa yanaanza kujidhihiri
 
Njaa mbaya sana.... bt aende 2 yeye ni kama sisimizi ndani ya CDM hana effect yoyote ile.....huko ndiko kunakomfaa kwenye siasa za maji taka,unafiki na upuuzi wa kila aina.
 
Huyo alikuwa Chadema akifanya kazi za ccm. sasa kaingia mahali alipostahili kuwepo. hakuwa na sifa za kuwa kwenye timu ya ukombozi. akaungane na wale waliopewa vyeo na kuhamishiwa Dar na kupelekwa kusoma nje baada ya kumwimbia mkulu pale Mwanza.

Sijui alipoweka bandiko hapa la mahojiano yake na gazeti la mtanzania alikuwa na maana gani?
 
Back
Top Bottom