Juliana Shonza Achumbiwa...

Juliana Shonza Achumbiwa...

Husband Jamani yuko busy anasaka noti wala hana Muda wakuhangaika na hawa watoa povu huku,and he is soproud of me Binti wa Shonza.

Kwanza nikupe hongera kwa hatua muhimu na nikukaribishe rasmi kwenye ndoa, mume anasaka noti sasa umsaidie na hizi Siasa za bongo za maji taka achana nazo kwa sasa jenga familia kwanza just an advice you are young and beautiful and ready to build a family of your own... Give it a priority.... Nategemea kuitwa kitchen party
 
Tunawatakia maisha mema ya ndoa. Muwe mfano wa kuigwa na vijana
 
Afadhali kapata mume sasa, alikuwa hatulii kama vile kachanganyikiwa!

Nimeamini kutokuwa na mwenzi waweza kuwa hata Chizi.

Ni kweli

I hope mume atamsaidia kuboresha mengi, kuanzia kuropoka hadi mkorogo
 
Huyo mwanaume wake mbona kama mdogo kwake, Juliana anaonekana mzee kwa huyo mchumba wake.
Hongera zako hata hivyo.

Kule Sauzi Wazulu husema "I have purchased a new wife", inawezekana hapa "wife" inakuwa substituted na "husband"!
 
Hongera Juliana Shonza...kumbe ndo maana kelele zimepungua ee...Halafu mmmmh!!! mbona hujaniaga,? by the way tangu mwaka 2011 pale hall five...nimekumiss mwe.!! Nenda salama July jamaa namfahamu ni mpole sana..! Ngoja nikatoe umbea kwa Amin kwamba... July kimenuka 'siyo msela tena' hivyo tupite mbaliiiiii! au..................

Mkuu endeleeni kupiga kisela kama kawa
 
Last edited by a moderator:
Hongera Juliana,Mungu abariki uchumba wenu!
Siasa zisiingizwe kwenye maisha ya ndoa za watu!
 
Nimekubali yaishe "NITONGOZEE" huyo aliyeweka alama ya dole! Nitaku-miss Binti Shonza.
 
Ila hivyo vikapu vyao vya sadaka mbona vidogo sana. Mch Mwansasu, kanosa linalipa kweli hilo? Nna wasiwasi
 
Hivi huyu Dada ni bongo celebrity? maana ndani ya dakika 20 kajaza page 18.
 
Watu mbwembwe....Huu ni uchumba tu michapi mwaaa...je ndoa machapi yatamwagikaje hapa.... au dada kachanganya haya mambo na kampeni za chama chao...mmmmhh!! To conclude; uchumba si ndoa sugua goti binti kwa maombi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom