Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 38,610
- 49,009
Michadema huwa inanishangaza sana, kwenye yao lazima wasifie , nakumbuka ya yule kijana wao waliamua mpaka kususia msiba wa kada wao maarufu, kisa mpunga, cha kushangaza zaidi mpunga wenyewe ulikuwa kwa juhudi za wale wanaowapigia kelele kila siku, inanishangaza sana hii michadede