Haswaaaa Mkuu, wala hainaga makombo daima ya moto mpaka ikizeeka!ha ha ha, mkuu wazee wa zamani walisema eti hainaga shombo!!! mla ni mla leo ati.....!!!!!
Afadhali kapata mume sasa, alikuwa hatulii kama vile kachanganyikiwa!
Nimeamini kutokuwa na mwenzi waweza kuwa hata Chizi.
Teh teh teh NA BADO,
Duh, natumaini mchumba wa Juli hatasoma hapa.Hongera Juliana Shonza...kumbe ndo maana kelele zimepungua ee...Halafu mmmmh!!! mbona hujaniaga,? by the way tangu mwaka 2011 pale hall five...nimekumiss mwe.!! Nenda salama July jamaa namfahamu ni mpole sana..! Ngoja nikatoe umbea kwa Amin kwamba... July kimenuka 'siyo msela tena' hivyo tupite mbaliiiiii! au..................
Ni Huyu Juliana Shonza Muulize..!!
duu...hivi mfano jamaa akisoma hizi koments inakuaje hata kama zaweza kuwa za uongo ati
nimeshiapata picha kidogo atakua mwanasiasa via ccm...wengine sekta hiyo ilitutupa mkono