Juliana Shonza Achumbiwa...

Juliana Shonza Achumbiwa...

Nimepitia coment zote ila sijamjua huyo July na pia huyo Muoaji kwa comment hizii waaaalai mie sijui!
 
Kitchen party sio harusi. Sisi tulimfanyia ndugu yetu mpaka send off lakini harusi iliyeyuka. Lete ushahidi wa harusi

Ushasema ndugu yako sasa huyu ndugu yako.??
Ushahidi kwani kuna kesi au hapa mahakamani
..haya hizo hapo...kaolewa una jingine....
 

Attachments

  • 1434722172617.jpg
    1434722172617.jpg
    33.4 KB · Views: 416
  • 1434722186753.jpg
    1434722186753.jpg
    37.5 KB · Views: 390
  • 1434722204388.jpg
    1434722204388.jpg
    21.1 KB · Views: 385
  • 1434722216908.jpg
    1434722216908.jpg
    40.1 KB · Views: 349
hongera bidada umuombe Mungu akutunzie hadi mkamilishe hatua ile muhimu ya kuwa mke na mume. unaitaji sana kuomba kipindi hiki kwani mafanikio huwa yakianza kujitokeza shetani huingilia kati. ukawe mke mwema siku ikifika mumeo awe anaimba sifa zako.

Alishaolewa mdaa mrefu kdgo.itakua ina mwaka...
 
Aangalie tu asiwe pichu mkononi huko kenye vikao vya chama chake atamuaibisha mumewe mtarajiwa!!
 
Kikubwa amshukuru Mungu ,sisi wengine Umri unaenda vijana wanaishia kututumia tu. Sijui itatokea lini kama ya mwenzetu.

Binti wewe ndiye unayewatumia vibaya vijana. Si ndiyo ninyi hamuishi kwenda saluni ,simu za kichina outing ,mm mgonjwa etc hizo zote ni pesa/gharama na ndugu ya pesa utoaji wa huduma.

Kwa hiyo rekebisha kauli yako ukitaka kuolewa kwanza anza kujitegemea kimaisha.Rudisha Bkr utawaona waoaji wanakuja wenyewe.

Kinyume na hapo utapata ndoa masilahi na ni vizuri unayempa hongera akajua hilo.
 
anayepiga magoti kuomba marriage ni mwanaume sio mwanamke wanawake wakichuchuka huwa wanapagawa sana
 
Huyu muoaji mbona anafanana na yule msemaji wa yanga
 
duh!! kuna watu wana roho ngumu kweli..anyway ukichunguza kuku anakuja nini huwez kumla.
 
daaah huyu kijana ana roho ngumu sana..yaani kamchumbia huyu?
 
Mi nasubiria adumu miaka mitano halafu nione ule upuuzi wa kukosoa ndoa ya Dr. Slaa
 
Dah yaani alikuwa bado na uzee huo? Huyo jamaa ajiandae kwa mengi sana, usaliti inclusive!
 
Kwa kuwa upele umepata mkunaji, sasa tutegemee utulivu wa huyu binti
Jamii za watu primitive zilizo kwenye mgando wa mfumo dume.

Wanaume machachari kwenye siasa tunapopishana kisiasa, kama Juliana alivyohitilafiana na chama chake, na wenyewe wanahitaji kukunwa watulie?
 
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"] [h=5]Juliana Shonza
[/h]2 hrs ·





"Thanks Lord,is now official,a lovely wife to be of Geo david.
I adore you."


[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Mbona anasura kavu ☺ au ndio UKAMANDA WENYEWE 😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom