Juliana Shonza Achumbiwa...

Juliana Shonza Achumbiwa...

Hongera sana Jully Dada Yang.wasio kujua ndio wanaropoka hapa kufurahisha nafsi zao.Tunaokujua tunajua wewe ni mwanamke Wa aina gani.Kila la kheri mama
 
aisee.... jamaa gani huyu aliyeamua kujitolea??
 
mungu wangu weeee!!!
Kwanini huyu bwana mdogo asingepima kwanza mdudu kabla ya hatua hii???

Dogo kaharibu maisha yake akiwa bado kijana mdogo!!! Na wewe shonza kwanini
usimwambie mwenzako ukweli??? Jamani eeeee

-hakika mtoto huyu ametumika!
-naogopa kuvunja ndoa ya huyu kijana kwa data za kina zaidi maana najua uchungu wa kuacha au kuachwa.
Jipe moyo!
 
Lahaulaaaa! Hivi huyu hajui hawa hawafugiki? Hv kweli hana hata ndg wakumshauri! Ah! aende zake huko.
 
Kumbe ni Juliana shonza,nami nilikuwa hapo Kanisani riverside hosana life ministry siku ya Jumapili 13 July 2014 kwa mchungaji Mwansasu na nilimbeba kwenye kiti kama ulivyo utamaduni wetu
Hongera Dada ingawa harakati zako za kuisaliti Chadema zinanifanya nikuwazie kivingine.
Usije ukamsaliti mumeo david,kijana wetu msaarabu
 
apunguze mdomo kwa huyo mme mtarajiwa vinginevyo ataishia kuchezea kichapo tu ni kweli kijana kaamua KUJILIPUA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom