Juliana Shonza Achumbiwa...

Juliana Shonza Achumbiwa...

Kumbe ni Juliana shonza,nami nilikuwa hapo Kanisani riverside hosana life ministry siku ya Jumapili 13 July 2014 kwa mchungaji Mwansasu na nilimbeba kwenye kiti kama ulivyo utamaduni wetu
Hongera Dada ingawa harakati zako za kuisaliti Chadema zinanifanya nikuwazie kivingine.
Usije ukamsaliti mumeo david,kijana wetu msaarabu
Acha unafiki
 
Aangalie tu usaliti kwa chama asiu-apply kwenye ndoa maana dhambi ya usaliti huambatana na mtu kama ngozi.
 
Hongera Juliana Shonza...kumbe ndo maana kelele zimepungua ee...Halafu mmmmh!!! mbona hujaniaga,? by the way tangu mwaka 2011 pale hall five...nimekumiss mwe.!! Nenda salama July jamaa namfahamu ni mpole sana..! Ngoja nikatoe umbea kwa Amin kwamba... July kimenuka 'siyo msela tena' hivyo tupite mbaliiiiii! au..................

Mkuu kama mlikula zamani uchuneni tu hakuna haja ya kumuharibia sasa, acheni na yeye apate wa kumsitiri!!
 
July usiwasikiliza hawa mimi nduguyo nataka niwasiliane na huyu mdada tuzungumzie maandaliza ya harusi, ebu nipe namba yake
SHOZA+2.jpg
 
Afadhali kapata mume sasa, alikuwa hatulii kama vile kachanganyikiwa!

Nimeamini kutokuwa na mwenzi waweza kuwa hata Chizi.
mbona muoaji mwenyewe anaonekana mdogo kiumri ukilinganisha na muolewaji mtarajiwa........au ndiyo mambo ya ndoa haina uzee...............?????
 
kwani aliisaliti vipi CHADEMA hadi mnamchukia hivyo??
 
Hongera sana july alololiunganisha mungu mwanadamu asilitenganishe
mungu awatangulie ili mfikie malengo yenu na geo david kahumbi
 
Nani alithubutu kuoa hii kitu? Atakuwa mwanaume ana roho ngumu. Tupeni status ya huyu jamaa maana usikute ni zile ndoa za hatari ya kuchina inabidi urukie any fursa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom