SMU
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 9,613
- 7,901
Juliana Shonza , hongera kwa hatua hii muhimu. Naamini pia ulijifunza kitu kwa yaliyomtokea Vicky Kamata hivi karibuni. Fanya due diligence ya kutosha kwa kila hatua.
Wengine: Pamoja na tofauti za kimitazamo au kisiasa, lakini naamini tunaweza kuwatendea haki wawili hawa ambao wana nia ya kufanya lililo jema. Tuwaombee heri tu! Kwani ni wangapi kati yetu tumeoa wanawake ambao hawakuwahi "kutumika" kabisa? Naamini kama wapo basi ni wachache mno.