J'tatu hiyooo, Lema njeeee....

Wewe ni mwisilamu halafu unakwenda kinyume na BAKWATA?
 
napenda kujua kama kamanda lema ametoka leo kama 2livyo ahidiwa na mahakama wiki iliyopita
 
kikao kimemalizika saa moja iliyopita wamekubaliana kuto kumkamata Kutokana na hali ilivyo Arusha kwani wanaona italeta machafuko zaidi hasa ukizingatia polisi wengi wako huko makumira university ambako kunavurumai baada ya mwanafunzi mmoja kufariki kwa kugongwa na gari....na watu walioandamana na Lema tayari wamesha sambaa tena kwa amani....

sasa mimi najiuliza busara hizi huwa wanazificha kwnye masaburi kumbe wakibanwa wana busara....
 
napenda kujua kama kamanda lema ametoka leo kama 2livyo ahidiwa na mahakama wiki iliyopita
Asubuhi na akatembea kwamiguu umbali wa kilometa 4 na wanachama na wapenzi wa chadema mpaka kwenye ofisi za chadema na kisha kuwa hutubia.....
 

Mbunge wako ambaye yupo bungeni amefanya nn zaidi ya kulala
 
Chadema kwa porojo bana Polisi wakifanya kazi yao utasikia polisi wametumia nguvu kubwa kwa raia wasiokuwa na silaha
Kwanini usitumie ID moja tu kutuma huu utumbo wako! Mara unakuja kama Ritz, mara Rejao! Hivi ID yako ya Malaria Sugu imepigwa Ban nini?
 
Mbunge wako ambaye yupo bungeni amefanya nn zaidi ya kulala

Leo nimemuona mwingine ameuchapa usingizi nusu saa tu baada ya Bunge kuanza.
Na kilichonisikitisha ni kuwa mpaka udenda ukawa unachuruzika
 


MS, FF, Ngongo, Ritz, Rejeo..........................................................................................................!!!!!!

 
Kwanini usitumie ID moja tu kutuma huu utumbo wako! Mara unakuja kama Ritz, mara Rejao! Hivi ID yako ya Malaria Sugu imepigwa Ban nini?

Na bado utamaliza maneno!
 
Kwanini usitumie ID moja tu kutuma huu utumbo wako! Mara unakuja kama Ritz, mara Rejao! Hivi ID yako ya Malaria Sugu imepigwa Ban nini?

au aweke wazi tu jina lake halisi. Huyu jamaa ni kijana anaechukiwa zaidi Tanzania, Riz1 mtoto wa Rais Jarcarhire. anadhani Internet ina siri, thubutuu....(nina hela ya kwenda india ndio maana nimemtaja)
 
sasa mkuu ina maana Lema hatakiwi kutembea kwa miguu?

Yaleyale ya Kiiza Besigye!!
Akiamua kujinyooshea zake viungo kwa kutembea kwa miguu watu wakamfuata linakua kosa!!
 
Crashwise, upo wapi mbona umeikimbia thread yako..njoo utupe update za mahakamani

Yupo pale ktkt na dada yako! Hujui Crashwise ni shemejiyo? Dada yako anampa huduma ya muhimu kwake. Na hata wewe ikibidi mtafute.
 
Mbunge wa Jimbo tata la Arusha leo mda mfupi uliopita alikua akiongea
kupitia Redio sun rise akijaribu kuonyesha ujasiri mkubwa na upendo wake
kwa wananchi wa jimbo hili mwenye habari kamili atujuze .......................

nawasilisha
 
Halafu habari ikiwa na maneno upendo mkubwa kwa wananchi inabinya yale aliyoongea ambayo sisi tusikuwepo Arusha tunataka kuyajua kwa upana
 
Ameeleza maisha ya selo. Anasema anatamani kama angerudi tena ila Slaa na Mbowe wanambania.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…