Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu

Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu

You can't expect more from him. He's Form 4 leaver.
Elimu sio kipimo cha uongozi,

mimi ni form 4 na nilikuwa naongoza ma Dr na professors, the same to Mbowe.
Unaweza kuwa msomi lakini ukawa hujaelimika kama akina Dr Pauline na wengineo.
Unaweza kuwa msomi lakini huna kipaji cha uongozi na unachojua ni chaki tu vumbi tupu hata maisha yako yakawa sawa na hakuna
Wengine wasomi hapa UK na wana phd lakini ni walinzi tu tesco wakati sisi mnaotudharau form 4 ni wakurugenzi
 
Hana kitu cha kuongea jamani mnataka aongee nini wakati kichwa hakina kitu.
 
Mzee wa Ant-virus Hana chake Mbeya maneno mengi na kuwashambulia clouds
Siku hizi kahamia kushawishi wasanii wajiunge chadema sijui ndiyo kazi iliyompeleka bungeni.
 
Sugu Hana chake Mbeya......kila mtu anajua Hilo na hata mwenyewe analifahamu Hilo....alichoweza kufanya katika miaka miwili na nusu ni kuwananga Clouds na kusambaza album yake ya Ant-virus
Daima dalili ya mvua ni mawingu kweli mkuu huyu jamaa hatoki tena.
 
You can't expect more from him. He's Form 4 leaver.

It's not a matter of education! What matters are his contribution to the society which enacted him to be an MP! We have people in our society that are highly educated. But what they practice in return to what they have been taught, is worse comparing to what a simple and mere person can do!

I think his presence in USA was basically aimed at expanding his music career and hunting for dollars! But let him here your comment and take it as a challenge and at the same time try to sing songs carrying problem messages from Mbeya City in the Parliament.
 
Jamaa jembe huyo,wala huwezi Tia mguu hapo.ila kwa sababu tu democracy tumbukia tu utimize ndoto yako kuwa na ww uligombea

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums

na kama alikuwahajui kama mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa maccm 50 mfano kichwa kimoja cha mh chiku abwao ni sawa na akina lukuvi50.
 
Muda mwingine watu tunapenda kuleta siasa za kujiga sana JF mpaka inapoteza mvuto sasa. Mie ni mwanambeya na nimefuatilia sana uongozi wa wabunge wa mbeya nikimaanisha Benson Mpeslya aliyekaa miaka kumi na kuongea mara mbili tu bungeni. Kusema sugu achangii bungeni ni kuto mtendea haki nasema hivi kwa sababu.
Katikabunge la Budget la mwaka huu ndio aliyekosoa hotuba ya wizara ya afya ILIsema hakuna tuhuma za rushwa kwa mwaka mzima WAKATI ZILIKUWEPO hasa ukizingatia sugu alIshamwekea mtego DACTARI mbeya Na kukamatwa kwa tuhuma za rushwa. Au kuwatetea wagonjwa waliokuwa wanatozwa rushwa ni ujinga kwako mtoa mada au kuna clouds hapo?
Katika bunge la budget lililopita alichangia UMIHIMU WA KUANZISHWA BANDALI KAVU MBEYA au ile iliyopo ianze kufanya kazi pale tazara iyunga au nayo hii ni clouds?
katika kikao cha bunge hili la sasa alichangia umuhimu wa machinga kuachwa kwenye maeneo wanayofanyia kazi sasa kwa kuweka miondombinu ya wima sio ulalo ambaya inachukua nafasi kubwa vipi nayo hii ni clouds?
Kuwatetea wasanii kwakuwa wanayonywa na cloudz kosa liko wapi kwani wasanii sio watanzania? kama hakuna mtu wa kuwasemea nani atasema hasa ukizingatia ni source kubwa ya mapato na ajira kwa vijana?
Kama unataka kugombea jimbo subiri muda wako ufike na ninakushauli uwe unafanya utafiti kabla ya kuleta theaty za uzandiki hapa javini?
"WANA MBEYA TUNAIMANI NA SUGU SUBILI MUDA UFIKE UJE UGOMBEE kusema sugu hatapita kwenye uchaguzi ujao ni moja ya kazi ya siasa ni kama wile MWIGULU, NKAMIA, KOMBA, VIKI KAMATA E.T.C HAWATARUDI BUNGENI 2015"
 
Wewe unaangalia bunge lako mwenyewe? Sugu anachangia sana. Kwani anayechangia sana ndiye mbunge bora? Watu hawachaguliwi kuchangia kila hoja bungeni. Uelewa wako juu ya masuala ya bunge ni wa kutiliwa shaka. Unaweza kuchangia kwa maandishi tu.
 
na kama alikuwahajui kama mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa maccm 50 mfano kichwa kimoja cha mh chiku abwao ni sawa na akina lukuvi50.

Hili ndilo tatizo lenu kubwa Chadema. Sijui huwa mnajipima kwa vigezo vipi?

Mmekuwa kama waimba taarabu, kujisifia vitu visivyo na mashiko. Nikikwambia thibitisha unachoongea utabaki unahaha haha tu. Acha kupenda vyama vya siasa kama unavyompenda mkeo/mmeo.
 
Muda mwingine watu tunapenda kuleta siasa za kujiga sana JF mpaka inapoteza mvuto sasa. Mie ni mwanambeya na nimefuatilia sana uongozi wa wabunge wa mbeya nikimaanisha Benson Mpeslya aliyekaa miaka kumi na kuongea mara mbili tu bungeni. Kusema sugu achangii bungeni ni kuto mtendea haki nasema hivi kwa sababu.
Katikabunge la Budget la mwaka huu ndio aliyekosoa hotuba ya wizara ya afya ILIsema hakuna tuhuma za rushwa kwa mwaka mzima WAKATI ZILIKUWEPO hasa ukizingatia sugu alIshamwekea mtego DACTARI mbeya Na kukamatwa kwa tuhuma za rushwa. Au kuwatetea wagonjwa waliokuwa wanatozwa rushwa ni ujinga kwako mtoa mada au kuna clouds hapo?
Katika bunge la budget lililopita alichangia UMIHIMU WA KUANZISHWA BANDALI KAVU MBEYA au ile iliyopo ianze kufanya kazi pale tazara iyunga au nayo hii ni clouds?
katika kikao cha bunge hili la sasa alichangia umuhimu wa machinga kuachwa kwenye maeneo wanayofanyia kazi sasa kwa kuweka miondombinu ya wima sio ulalo ambaya inachukua nafasi kubwa vipi nayo hii ni clouds?
Kuwatetea wasanii kwakuwa wanayonywa na cloudz kosa liko wapi kwani wasanii sio watanzania? kama hakuna mtu wa kuwasemea nani atasema hasa ukizingatia ni source kubwa ya mapato na ajira kwa vijana?
Kama unataka kugombea jimbo subiri muda wako ufike na ninakushauli uwe unafanya utafiti kabla ya kuleta theaty za uzandiki hapa javini?
"WANA MBEYA TUNAIMANI NA SUGU SUBILI MUDA UFIKE UJE UGOMBEE kusema sugu hatapita kwenye uchaguzi ujao ni moja ya kazi ya siasa ni kama wile MWIGULU, NKAMIA, KOMBA, VIKI KAMATA E.T.C HAWATARUDI BUNGENI 2015"
 
It's not a matter of education! What matters are his contribution to the society which enacted him to be an MP! We have people in our society that are highly educated. But what they practice in return to what they have been taught, is worse comparing to what a simple and mere person can do!

I think his presence in USA was basically aimed at expanding his music career and hunting for dollars! But let him here your comment and take it as a challenge and at the same time try to sing songs carrying problem messages from Mbeya City in the Parliament.
Waso0mi wengi wanaojiita wasomi na kudharau wasiosoma kama wao wengi maisha yao hovyo tu.

Bill gates kilaza lakini kaajiri wasomi lukuki

MIMI CCM LAKINI SIJAPENDA WATU WANAVYOMNANGA SUGU KWA SABABU SIO MSOMI

Mbona hata ccm tuna wabunge wengi tu wasioenda shule? hebu niwaulize mnamfgahamu ALLY KESSY wa nkansi?

Mimi namfahamu na najua mzee hata la saba hakufika ila ana kipaji cha hali ya juu kwenye biashara
 
Ulichonesa ni kweli elimu ya Tanzania ni kwenye nadaftari tu hakuna kitu kichwani ndo maana wasomi wameliingiza taifa ili kwenye mkenye wa EPA, RICHMOND etc utakuta mtu analinga na kadegree weeeeeee wakati hana hata hamsini mfukoni nina maanina wasomi wetu pumba tu wanashidwa kutatua changamoto zinazowazunguka sembuse kuongoza watu.............
 
Kwanza nadeclare interest me ni CHADEMA.
Huyu mkuu huwa hachangii chochote akiwa bungeni, labda ishu ihusu bongo fleva au Ruge.
Ameshindwa hata na Maji marefu ambaye huuliza maswali ya nyongeza na ya msingi kuhusu wapiga kura wake.
Ivi Mbeya mjini hamna matatizo ya maji, barabara , shule na clinic kweli?

Anadhani alichaguliwa kwa ajili ya kuongelea hati miliki za wasanii?
Muda mwingine watu tunapenda kuleta siasa za kujiga sana JF mpaka inapoteza mvuto sasa. Mie ni mwanambeya na nimefuatilia sana uongozi wa wabunge wa mbeya nikimaanisha Benson Mpeslya aliyekaa miaka kumi na kuongea mara mbili tu bungeni. Kusema sugu achangii bungeni ni kuto mtendea haki nasema hivi kwa sababu.
Katikabunge la Budget la mwaka huu ndio aliyekosoa hotuba ya wizara ya afya ILIsema hakuna tuhuma za rushwa kwa mwaka mzima WAKATI ZILIKUWEPO hasa ukizingatia sugu alIshamwekea mtego DACTARI mbeya Na kukamatwa kwa tuhuma za rushwa. Au kuwatetea wagonjwa waliokuwa wanatozwa rushwa ni ujinga kwako mtoa mada au kuna clouds hapo?
Katika bunge la budget lililopita alichangia UMIHIMU WA KUANZISHWA BANDALI KAVU MBEYA au ile iliyopo ianze kufanya kazi pale tazara iyunga au nayo hii ni clouds?
katika kikao cha bunge hili la sasa alichangia umuhimu wa machinga kuachwa kwenye maeneo wanayofanyia kazi sasa kwa kuweka miondombinu ya wima sio ulalo ambaya inachukua nafasi kubwa vipi nayo hii ni clouds?
Kuwatetea wasanii kwakuwa wanayonywa na cloudz kosa liko wapi kwani wasanii sio watanzania? kama hakuna mtu wa kuwasemea nani atasema hasa ukizingatia ni source kubwa ya mapato na ajira kwa vijana?
Kama unataka kugombea jimbo subiri muda wako ufike na ninakushauli uwe unafanya utafiti kabla ya kuleta theaty za uzandiki hapa javini?
"WANA MBEYA TUNAIMANI NA SUGU SUBILI MUDA UFIKE UJE UGOMBEE kusema sugu hatapita kwenye uchaguzi ujao ni moja ya kazi ya siasa ni kama wile MWIGULU, NKAMIA, KOMBA, VIKI KAMATA E.T.C HAWATARUDI BUNGENI 2015"
 
So jimboni kwake raia wote ni wasanii?
Muda mwingine watu tunapenda kuleta siasa za kujiga sana JF mpaka inapoteza mvuto sasa. Mie ni mwanambeya na nimefuatilia sana uongozi wa wabunge wa mbeya nikimaanisha Benson Mpeslya aliyekaa miaka kumi na kuongea mara mbili tu bungeni. Kusema sugu achangii bungeni ni kuto mtendea haki nasema hivi kwa sababu.
Katikabunge la Budget la mwaka huu ndio aliyekosoa hotuba ya wizara ya afya ILIsema hakuna tuhuma za rushwa kwa mwaka mzima WAKATI ZILIKUWEPO hasa ukizingatia sugu alIshamwekea mtego DACTARI mbeya Na kukamatwa kwa tuhuma za rushwa. Au kuwatetea wagonjwa waliokuwa wanatozwa rushwa ni ujinga kwako mtoa mada au kuna clouds hapo?
Katika bunge la budget lililopita alichangia UMIHIMU WA KUANZISHWA BANDALI KAVU MBEYA au ile iliyopo ianze kufanya kazi pale tazara iyunga au nayo hii ni clouds?
katika kikao cha bunge hili la sasa alichangia umuhimu wa machinga kuachwa kwenye maeneo wanayofanyia kazi sasa kwa kuweka miondombinu ya wima sio ulalo ambaya inachukua nafasi kubwa vipi nayo hii ni clouds?
Kuwatetea wasanii kwakuwa wanayonywa na cloudz kosa liko wapi kwani wasanii sio watanzania? kama hakuna mtu wa kuwasemea nani atasema hasa ukizingatia ni source kubwa ya mapato na ajira kwa vijana?
Kama unataka kugombea jimbo subiri muda wako ufike na ninakushauli uwe unafanya utafiti kabla ya kuleta theaty za uzandiki hapa javini?
"WANA MBEYA TUNAIMANI NA SUGU SUBILI MUDA UFIKE UJE UGOMBEE kusema sugu hatapita kwenye uchaguzi ujao ni moja ya kazi ya siasa ni kama wile MWIGULU, NKAMIA, KOMBA, VIKI KAMATA E.T.C HAWATARUDI BUNGENI 2015"
 
Waso0mi wengi wanaojiita wasomi na kudharau wasiosoma kama wao wengi maisha yao hovyo tu.

Bill gates kilaza lakini kaajiri wasomi lukuki

MIMI CCM LAKINI SIJAPENDA WATU WANAVYOMNANGA SUGU KWA SABABU SIO MSOMI

Mbona hata ccm tuna wabunge wengi tu wasioenda shule? hebu niwaulize mnamfgahamu ALLY KESSY wa nkansi?

Mimi namfahamu na najua mzee hata la saba hakufika ila ana kipaji cha hali ya juu kwenye biashara

kaka futa hii kauli.......sio drop outs wote ni vilaza....akina bill gates,mark zuckerburg ni ma-genius bro......au labda sijui maana ya kilaza....
 
Kumbe suala la madaktari lilimkosanisha Sugu na mhe. Mabumba nalo ni Bongo fleva!
 
Back
Top Bottom