Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu

Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu

Waso0mi wengi wanaojiita wasomi na kudharau wasiosoma kama wao wengi maisha yao hovyo tu.

Bill gates kilaza lakini kaajiri wasomi lukuki

MIMI CCM LAKINI SIJAPENDA WATU WANAVYOMNANGA SUGU KWA SABABU SIO MSOMI

Mbona hata ccm tuna wabunge wengi tu wasioenda shule? hebu niwaulize mnamfgahamu ALLY KESSY wa nkansi?

Mimi namfahamu na najua mzee hata la saba hakufika ila ana kipaji cha hali ya juu kwenye biashara

Chris Lukosi, Sikutegemea kama ungeweza kutoa mchango mzuri na wenye busara namna hii kutokana na jinsi wanaChadema na wafuasi wengine wa vyama vya upinzani wanavyokufahamu hapa JF. Ulichokifanya kinapaswa kuigwa na kila mpenda amani,haki,usawa,utu na maendeleo katika nchi yetu!

Tofauti zetu katika elimu,madaraka na dini zisitufanye tuwe maadui! Elimu ni ujuzi ambao mtu anaweza kuupata kwa kwenda shule,kurithishwa kwa maelekezo na vitendo na wakati mwingine mafunzo sehemu ya kazi. Mara nyingi kupendwa kwa mtu, nini amefanya au atafanya kwa jamii ndivyo humweka mtu madarakani na siyo elimu yake!
 
Watu wa namna yako wameesha fariki. Kwasbb wana mawazo mfu
 
Yule ni mhuni tu, nzi alidondokea kwenye maziwa na haitatokea tena wanambeya wafanye hilo kosa
 
Ukitoa maoni uwe na uwakika nayo sio kujisemea semea tu, nakukumbusha kidogo, Sugu alichangia sana kuhusu Twiga na wanyama pori waliotoroshwa kutoka nchini kwenda nchi za watu, amechangia sana kuhusu wizara ya mambo ya ndani na kumuhasa Nchimbi kuhusu wizara hiyo, Wizara ya Uchukuzi kuhusu uwanja wa ndege wa Songwe na mengine mengi saaaaaaaaaaana ya Jimbo lake. Kaa sikiliza bunge wewe kilaza ndo ulete hoja

kazungumzia sana suala la serikali kung'oa watu kucha na meno bila ganzi...aliwakumbusha ccm kushindwa kulinda tembo wetu na k'hili pia nk.
 
Kagombee na wewe jimboni kwenu. Kama muhuni aliweza gombea akapata, ni rahisi sana wewe muungwana kupata ubunge!!
 
Pia nakumbuka aliwahi kuhoji juu ya sklepa za ndege za ATC ziko wapi?
 
Chris Lukosi, Sikutegemea kama ungeweza kutoa mchango mzuri na wenye busara namna hii kutokana na jinsi wanaChadema na wafuasi wengine wa vyama vya upinzani wanavyokufahamu hapa JF. Ulichokifanya kinapaswa kuigwa na kila mpenda amani,haki,usawa,utu na maendeleo katika nchi yetu!

Tofauti zetu katika elimu,madaraka na dini zisitufanye tuwe maadui! Elimu ni ujuzi ambao mtu anaweza kuupata kwa kwenda shule,kurithishwa kwa maelekezo na vitendo na wakati mwingine mafunzo sehemu ya kazi. Mara nyingi kupendwa kwa mtu, nini amefanya au atafanya kwa jamii ndivyo humweka mtu madarakani na siyo elimu yake!

Hahha! Kakumbuka Msemo wake wa ...
Sisi sote ni Ndugu, Tatizo ni MACCM.
 
Kwani Form four wanashida gani?...... je; unafahamu kwamba GREAT THINKERS WA ZAMANI HAWAKUSOMA SANA?
BAna sometimes think in capital lettiters
pengine nchi hii ni ya graduate tu!
 
Sugu hana uwezo wowote katika masuala ya kisiasa.

Wewe mwenyewe huna uwezo wowote kisiasa....ni sawa na baba yako hana uwezo wa kuongoza nchi.ndio maana ikitokea tatizo dogo tu nguvu inayotumika ni kubwa utadhani nchi imevamiwa na majeshi ya nchi za jirani.wewe ni tatizo hapa Tanzania hufai hata kidogo.
 
kama siyo mwanasiasa ni nani sasa,na kama hujui siasa kwa nini useme Sugu hana uwezo?

Mkuu umemuuliza swali la.msingi.huyu ridhiwani akili yake ni sawa na mwinguru hua nikiona comments zake huwa nachefuka roho.yeye mwenyewe hana uwezo wowote kisiasa.pia hawezi jilinganisha na sugu.mwenzake ameishi USA zaidi ya miaka 10 , exposure ya sugu ni kubwa kuliko hata rais wa nchi.acheni ujinga.
 
Watu wanaishi USA miaka 10 kumbe wanafanya kazi supermarkets...atuambie alichofanya USA....
 
Elimu sio kipimo cha uongozi,

mimi ni form 4 na nilikuwa naongoza ma Dr na professors, the same to Mbowe.
Unaweza kuwa msomi lakini ukawa hujaelimika kama akina Dr Pauline na wengineo.
Unaweza kuwa msomi lakini huna kipaji cha uongozi na unachojua ni chaki tu vumbi tupu hata maisha yako yakawa sawa na hakuna
Wengine wasomi hapa UK na wana phd lakini ni walinzi tu tesco wakati sisi mnaotudharau form 4 ni wakurugenzi

Ehe wewe no mkurugenzi wa kitu gani hasa? Hebu tujuze
 
Watu wanaishi USA miaka 10 kumbe wanafanya kazi supermarkets...atuambie alichofanya USA....
USA hata ukisafisha vyoo au kubadilisha diaper wendawazimu..ile kuishi tu USA kuonana na watu tofauti plus technology inayotumika USA bado hutajilinganisha na ridhiwani au kikwete.exposure ni sawa tu na elimu sio mpaka uende darasani.
 
Back
Top Bottom