Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu

Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu

You can't expect more from him. He's Form 4 leaver.

you hawkwardly right. Thats why we expect much from learned brothers and aunts like zakhia, A.chenge, Masha, Nchemba , et al. These are learned comrades who gave tz nice moves and good 'contracts'
 
Mi nimeamua kumshauri baada ya kuona wabunge wengi wa ccm wakijitutumua kutetea wananchi wao takriban kila siku wakati wa maswali.
Sugu tangu asome bajeti, hajachombeza swali japo tumjue yupo, ukilinganisha na akina Jenister, Nkamia, yule mama mbunge wa kondoa etc.
 
ni Sugu huyu huyu aliyetuliza vurugu mbeya abapo serikali ilishindwa sasa sijui kwanini wananchi wamuamini kiasi hicho
 
Kwanza nadeclare interest me ni CHADEMA.
Huyu mkuu huwa hachangii chochote akiwa bungeni, labda ishu ihusu bongo fleva au Ruge.
Ameshindwa hata na Maji marefu ambaye huuliza maswali ya nyongeza na ya msingi kuhusu wapiga kura wake.
Ivi Mbeya mjini hamna matatizo ya maji, barabara , shule na clinic kweli?

Anadhani alichaguliwa kwa ajili ya kuongelea hati miliki za wasanii?
Acha unafiki unadhani ndo wabunge wa magamba kutwa nzima wanalala. M4C daima.
 
Mi nimeamua kumshauri baada ya kuona wabunge wengi wa ccm wakijitutumua kutetea wananchi wao takriban kila siku wakati wa maswali.
Sugu tangu asome bajeti, hajachombeza swali japo tumjue yupo, ukilinganisha na akina Jenister, Nkamia, yule mama mbunge wa kondoa etc.

kumlinganisha SUGU na nkamia inaonesha ulivyotahira. Umeoneshwa maswali aliyouliza mìchango aliyochangia Juu ya Jimbo lake na taifa kwa ujumla.

Nazani michango ya Sugu ya kitaifa kama ule wa kuhusu ulimboka ni mwiba kwa ccm.

Ila nataka ujue kitu kimoja kama taifa limehalibika ukaacha kulisemea basi ata mbeya haitaendelea utatoa hoja utaambiwa hauna fedha.

Yani ata baba yako akiwa malaya ela zote anahonga na kunywea ukimuomba ada hakupi anza kwanza kumshauri aache pombe na wanawake akiacha tu wewe binafsi utaendelea kwa gafla. Serikali yetu ni sawa na baba mlevi na mzinzi bila kuikosoa ata Akiongelea mbeya pekee ni kujisumbua tu.

Kuna wabunge kama Deuji wa singida mjini.
 
Si afazali Sugu anachangia kwa kutetea haki miliki .....je jaamaa yenu LOA-HASA ambaye hunyamaza kimya tu afu mwisho wa siku anaenda kuhonga watu kwenye sherehe za kidini na nyinginezo pesa ambazo hazijulikani vizuri ili wapumbazike wafikirie kuwa ndoo anafaa kuwa mkuu wa KAYA!!!
 
You can't expect more from him. He's Form 4 leaver.

Elimu ya kidato cha Nne inatosha sana wala si hatia, hata rasimu ya mabadiliko ya katiba yanapendekeza elimu ya chini ya mbunge kuwa ni kidato cha Nne! Lakini unapaswa ukumbuke kuwa kuna njia nyingi sana za kuwasilisha matatizo ya wapiga kura wako serikalini! Kuna haja gani kuinuka na kusema the Lusinde way? Hivi wasema hovyo hawa, na mkaa kimya nani ana hekima? Kuna mambo yanayosemewa na wengi, au yako katka hatua za utekelezaji, kuna haja gani kuinuka na kuyasemea hayo hayo alimradi uonekane unaongea?
 
Kwanza nadeclare interest me ni CHADEMA.
Huyu mkuu huwa hachangii chochote akiwa bungeni, labda ishu ihusu bongo fleva au Ruge.
Ameshindwa hata na Maji marefu ambaye huuliza maswali ya nyongeza na ya msingi kuhusu wapiga kura wake.
Ivi Mbeya mjini hamna matatizo ya maji, barabara , shule na clinic kweli?

Anadhani alichaguliwa kwa ajili ya kuongelea hati miliki za wasanii?

Ulisha wahi kusikia sauti ya Dewji? Hivi ana kibesi au ana sauti nyembamba? Bora Sugu niliisikia sauti yake kwenye 'SUGU MOTO CHINI'.........
 
Amekuacha mbali sana, aliwezakukubalika na wanambeya kwa kula 20,000zaii ya alikuwa anamfuata katika uchaguzi 2010, wewe mwenzetu unaweza kuta hata familia ya mtoto mmoja inakushida

Sugu hana uwezo wowote katika masuala ya kisiasa.
 
Kwanza nadeclare interest me ni CHADEMA.
Huyu mkuu huwa hachangii chochote akiwa bungeni, labda ishu ihusu bongo fleva au Ruge.
Ameshindwa hata na Maji marefu ambaye huuliza maswali ya nyongeza na ya msingi kuhusu wapiga kura wake.
Ivi Mbeya mjini hamna matatizo ya maji, barabara , shule na clinic kweli?

Anadhani alichaguliwa kwa ajili ya kuongelea hati miliki za wasanii?
personal attacks hizo...
 
Mi nimeamua kumshauri baada ya kuona wabunge wengi wa ccm wakijitutumua kutetea wananchi wao takriban kila siku wakati wa maswali.
Sugu tangu asome bajeti, hajachombeza swali japo tumjue yupo, ukilinganisha na akina Jenister, Nkamia, yule mama mbunge wa kondoa etc.

mkuu hebu tuachie Mbunge wetu bwana! mimi ndio mdau wa Mbeya hasa, najua kazi ya Sugu jimboni inaturidhisha! hivi wewe mbunge wako ni nani labda?
 
Back
Top Bottom