And u only expect more from Jk because he's doctorate leaver!
Upumbavu juu ya upumbavu mwingine shida tupu!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ni darasa la saba, Sugu form 4, ka ishu ni shule.
Pia Sugu ana-exposure ya kuishi nje mda mrefu.
We kweli tutusa. Mbona Mulugo au Wassira au Pinda huulizi na wao kwa nini huwaoni wakichangia? Michango huwa ya maneno na maandishi. Nenda kwenye hansard kwanza uone...
So? Kuishi nje muda mrefu kuna uhusiano gani na kuchangia Bungeni?
Bora hata sugu anayetetea haki za wasanii..,jE unasemaje kwa wale wasio fungua mdomo kwa chochote>>??
sio kila kinachotolewa hapa wanachadema tupinge.wafuasi wote chadema wanaweza toa maoni kwenye vikao vya chama?ujumbe ukitolewa muhusika ajirekebishe mnakuwa kama maccm yaliyokuwa lumumba kusubir buku 7?chadema tunasaidiana kimawazo ili kufikia pale tunapokusudia ila kwa sasa badala ya kujadili hoja za maana tunalumbana na magamba.sion shida ya hoja aliyoitoa mtoa mada naiunga mkono Sugu ajirekebishe.hakupelekwa bungeni na ze comedy wala rage au jay dee na wengineo.wanambea wanataka maendeleo na atimize ahadi full stop.
Kwanza nadeclare interest me ni CHADEMA.
Huyu mkuu huwa hachangii chochote akiwa bungeni, labda ishu ihusu bongo fleva au Ruge.
Ameshindwa hata na Maji marefu ambaye huuliza maswali ya nyongeza na ya msingi kuhusu wapiga kura wake.
Ivi Mbeya mjini hamna matatizo ya maji, barabara , shule na clinic kweli?
Anadhani alichaguliwa kwa ajili ya kuongelea hati miliki za wasanii?
Mwenye uwezo ni Mtume na Nabii, Senior Pastor Hon. Dr. TB Getrude Pangalile Lwakatare, a PhD holder?
Sugu hana uwezo wowote katika masuala ya kisiasa.
Wewe unao uwezo wa masuala ya kisiasa? Au ndio kubebwa tu?
Subiri Fagio la M4C lipite watu kama wewe tutawasahau kama mlikuwepo ktk siasa za Tanzania.
Huyu jamaa anabebwa kwa jina la baba yake,uwezo hapo sifuri kabisa,bungeni wanajaza nafasi tu,na kula posho....kweli kabisa kama mbunge wa NAMTUMBO VITA kawawa sijawahi kumsikia hata siku moja bungeni.
Mimi siyo mwanasiasa, Sugu hawezi hata kuchambua bajeti yoyote yeye kila siku mambo ya Clouds tu.