Msaka tonge
Member
- Apr 2, 2013
- 78
- 13
Taitizo kubwa huwa hufuatilii bunge,unajua kuwa wabunge hupeleka maswali kwanza ndipo mda ukifika wapewe nafasi ya kuulza,wapinzani mwaswali yao lazima yajadiliwe kwanza na magamba ccm na ndipo nafasi zitolewe,,kama unaakili malzia kufikili..sugu ametoa michango mingi sana na sio sawa na wabunge uliowataja wanawatumia wananchi kwa manufaa yao,,kama baadhi ya wabunge wanamahekalu kama ikulu na ahadi wanazozitoa huwa hawatekelezi hata kidogo.naomba kuwasilisha hoja.
Kwanza nadeclare interest me ni CHADEMA.
Huyu mkuu huwa hachangii chochote akiwa bungeni, labda ishu ihusu bongo fleva au Ruge.
Ameshindwa hata na Maji marefu ambaye huuliza maswali ya nyongeza na ya msingi kuhusu wapiga kura wake.
Ivi Mbeya mjini hamna matatizo ya maji, barabara , shule na clinic kweli?
Anadhani alichaguliwa kwa ajili ya kuongelea hati miliki za wasanii?