Ila hayupo peke yake wapo kina Lema, Mnyika....ndani ya chama wana manufaa kweli, wao wanaagizwa tu wewe mtukane raisi, wewe mtukane waziri mkuu.....
Ndio maana wale wanaojitambua kama Zito, Baregu, Shibuda hawana mvuto sana kwenye uongozi.
Mtukane tu ila ipo siku utajikuta upo man to man na mzee Mizengo, ametinga uzi wa taikwondo ndio utaanza kulia kuomba msaada......dokta Wily............Freeeman........Babu Eduuuuuu, saizo wapo kirima juu wanaria mbeke.
Unapewa Takwondo za kijapani ukitoka hapo viungo vyote vimekuwa displaced...miguu ipo mikononi...mikono miguuni...pua ipo kisogoni....
Ukikutana na dokta Wiliburodi lazima atoke nduki, na hivi tu gari yake ikifuatwa nyuma na gari nyingine anatamani ageuke Filbert Bayi ateremke akimbie kwa miguu (ila watu wa kule nawaaminia kwa nduki)....
breki ya kwanza karatu.......kurudi mjini majaliwa......chezea viumbe kutoka sayari ya Mars.
Na huyo ndio mgombea wenu wa kudumu, Itawabidi mtafute mgombea mwingine...ndio itakuwa imekula kwenu.