Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu

Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu

Hivi hmjua kua CCM ndiyo kuna wabunge wengi ambao hawana mchango wowote kwa majimbo yao? Mfano mbunge wa Singida Mjini (Dewji) toka ameingia Bungeni amechangia nini na mara ngapi? Iliingia kwa kuwahonga wapiga kura hana uwezo wowote.
 
Hivi hmjua kua ccm ndiyo kuna wabunge wengi ambao hawana mchango wowote kwa majimbo yao? Mfano mbunge wa Singida Mjini (Dewji) toka ameingia Bungeni amechangia nini na mara ngapi? Iliingia kwa kuwahonga wapiga kura hana uwezo wowote.

Mi siko apa kuwasaidia CCM ili waendelee kututawala tena miaka 50.
 
Mimi ni mpiga kura, kwani wewe ni mwanasiasa.

Na kama wewe ni mpiga kura unampigia nan? Na kama wewe ni mpiga kura kwa kiasi kikubwa ulimpigia kura sugu baada ya kuona kuwa ana uwezo.
 
Tuache unafiki Sugu ni mzungumzaji na mchangiaji mzuri..tatizo ni kufuatilia bunge kwa bahati nasibu...unajua hata football kuna watu huwasha TV wanaposikia mayowe ya kushangilia goli?
 
You can't expect more from him. He's Form 4 leaver.
Si bora ya yeye form4 kuliko wewe uliepigwa mimba darasa la sita ukaishia hapohapo.
JF umekalia majungu, uchonganishi na fitina tu.
 
sugu kama msanii asipolisimamia la hati miliki nani atawasemea wasanii

Zitto Kabwe,Sugu anatetea waandishi wa habari. unaona karata zinavyochangwa!kama walidhani sugu atatoa povu kwa ajili ya wasanii wamebugi,anafanya kazi kichama,msije mkasema anapersonal interest bure.
 
Mimi siyo mwanasiasa, Sugu hawezi hata kuchambua bajeti yoyote yeye kila siku mambo ya Clouds tu.
Mkuu Ritz mbona hata wewe kwenye mijadala ya Kiingereza humu ndani huwa unaingia mitini?
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA kinachomata ni sound tu, elimu sio issue! Ukiuliza watakwambia mbona chama tawala maprofessor wengi na hakuna maendeleo,. What an excuse!
 
Yaani huwa najiuliza waliomchagua walitarajia nini kutoka kwake, ila anachofanya ndio kilicho ndani ya uwezo wake.

Huo uwaziri kivuli wenyewe sijui kama anajua majukumu yake zaidi ya kuendesha mapambano na clouds kwa kutumia wasanii.

Kwenye filamu sioni mapambano yoyote, Wasanii wana vilio mpaka makoo yamekauka, matatizo ya usambazaji, Mikoani hakuna cha maana kinaendelea kuhusu filamu kila msanii analazimika kukimbilia Dar ndio aonekane anafanya kitu.

Ni mikoa mingapi ameshatembelea na kukutana na wasanii wa filamu kusikiliza matatizo yao ?

Hiyo bongo fleva anaonekana kuishupalia ili tu atekeleze mapambano yake na clouds kama mlivyoona kwenye msiba wa Ngwair.

Kesho na keshokutwa chadomo wanatarajia huyu ndio awe waziri wa utamaduni vijana na michezo.....ee Mungu tunusuru waja wako.

KUNA WABUNGE WAKISIMAMA BUNGENI UTAWASIKIA TU...KUDADADEKI......Deus Kibamba
 
Back
Top Bottom