Joram kiango vs Willy Gamba

Joram kiango vs Willy Gamba

Sana. Hasa ile issue ya almasi za mwadui ni noma sana. Watu walizipenda mno ndio maana Nyerere akaona hawa jamaa watajifunza haya mambo iwe shida, akazipiga marufuku eti zinafundisha ujambazi kumbe hata yeye alikuwa anazisoma
Hahahaha mie nadhani zilikua zinaongeza uzalendo labda ni vile ilikua inagusa story za idara ukizingatia kipindi kile cha ukombozi
 
Kwangu mimi, The Best ni "KIKOSI CHA KISASI!"
Zile harakati za Kinshasa, acha kabisa!
Njama, siasa nyiiiiiingiiii!
1.jpg

Umesoma hiki
 
Nitajaribu kufanya hivyo mkuu. Ila kukipata hicho kitabu ni kimbembe.
Kama uko dar pale maktaba kuu kwenye zile kompyuta unaweza ukasearch jina la kitabu kisha itakuleta mkoa ambao hicho kitabu utakikuta.

Naamini maktaba ina hazina kubwa sana ya hivyo vitabu vya zamani maana mimi ilikuwa kila nikipata fursa ya kutembelea mikoa mbalimbali basi huwa na tembelea hizo maktaba hivyo nimefaidika sana kusoma vitabu vingi vya zamani.
 
Ahsante sana. Nitafanya hivyo.
 
Aliyeandika watoto wa mama ntilie alitisha sana. Wanadai hao kina gamba et al walikuwa wana copy iriwaya za kizungu za kina chase na kuzileta kwa kiswahili japo siamini hili.
Chase hajawahi kuwa na riwaya za state sponsored espionage kama Njama. Ambazo zilikuwa typical Musiba style.

Bora hata ungesema Musiba kamgeza Ian Fleming na James Bond.

But this is genre.

Ni sawa na kusema Justin Kalikawe kamgeza Bob Markey kuimba reggae, wakati Justin aliimba reggae katika muktadha wa Kitanzania, akielezea mambo ya Tanzania, kwa Kiswahili, na hata Kihaya.

Unaweza kusema Musiba alikuwa inspired na Ian Fleming, au Justin Kalikawe alikuwa inspired na Bob Marley.

Lakini kuwa inspired si kugeza, na katika sanaa, inspiration inapatikana popote pale.
 
Back
Top Bottom