Jacob Matata,ana undugu kati ya Joram Kiango au Willy Gamba ?

Idd Ninga

Idd Ninga

Verified Member
Joined
Nov 18, 2012
Messages
2,782
Points
2,000
Idd Ninga

Idd Ninga

Verified Member
Joined Nov 18, 2012
2,782 2,000
Wengi hasa vijana wa enzi zetu zike za Ben Mtobwa na wengine,tulikuwa tukiwafuatilia sana hawa jamaa wawili Joram na Willy,ukweli ni kwamba wazee tulifaidi mengi sana,siyo kama vijana wa sasa wanabinyeza bonyeza tu simu.
Ila tuyaache hayo,hivi huyu Jacob Matata Jasusi la kimataifa lina udugu wowote na Willy Gamba au Joram Kiango ?
Wajukuu nadhani mtanisaidia sana,maana babu yenu kama vile kumbukumbu zinaanza kunipungua.
 

Forum statistics

Threads 1,334,520
Members 512,012
Posts 32,478,950
Top