PreGE2025 John Mrema alaani vikali kiongozi wa Chadema taifa kupigwa na mlinzi wa Heche
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,249
Reaction score
4,537
Nimesikitishwa na taarifa hii ya Chama ,pamoja na kutolewa kwa kuchelewa sana ,masikitio yangu yanatokana na mambo yafuatayo;

1. Chama hakikuona haja ya kulaani tukio la kiongozi wa wanawake taifa kupigwa na kuumizwa ,kipigo kilichotolewa na Mwanaume,bali kinasema ni taarifa zinazosambazwa mtandaoni .

2. Chama hakikutoa pole kwa mgonjwa ,mbona kinatoa pole hata kwa viongozi wa CCM wanapopatwa na majanga ? Huu uadui wa kushindwa kumpa pole kiongozi umeanza lini?

3.;Chama kinamtishia mgonjwa na kumpangia nani wakumpa faraja na nani hatakiwi kwenda kumpa faraja .Nani amchangie ,wakati huohuo hakijaonyesha kuwa kipo tayari kuwezesha matibabu yake .

4. Chama kinasema kinaendelea na uchunguzi ,sasa kama kinachunguza kwanini kinatoa vitisho kwa mgonjwa? Hivi mgonjwa anayetishiwa atatoa ushirikiano kwenye huo uchunguzi ? Kinachunguza jambo ambalo kinasema ni 'tuhuma za mtandaoni'

5.;Kauli za kikatili kama hizi nilizoea kuzisikia wakati wa Mwendazake ,walupopotea watu tuliambiwa tujikite kwenye maendeleo kwani wapo wanaokwamisha .....kumbuka kauli dhidi ya Ben Saanane,Azwory,Kanguye na wengineo wengi .

Nalaani kitendo cha kiongozi wa Wanawake kupigwa na wanaume ,huu ni ukatili wa kijinsia na unapaswa kupingwa na kila mtu mstaarabu bila kujali nani katendewa ukatili huo .

Ukatili huu hauna tofauti na ukatili unaofanywa kwa wanawake wengine nchini ,tuungane kuupinga ,kuukemea na kutokimeza matendo ya kikatili katika vyama vya siasa na nje ya vyama vya siasa .

Eid Mubarak .

Source: Ukurasa wa X
 
Wanachunguza? Lini chadomo wamekuwa jeshi la polisi?
 
Kifo

Cha Mzee Kibao nacho anakielezeaje??🤔🤔😭😭
 
View: https://www.instagram.com/p/DH3DeyUCFBq/?igsh=OXNwcnExZWphd3Vx
 
Another wicked inline to Amos Makalla. DCI Kingai chunguzq Makalla na John mrema.
 
Back
Top Bottom