Nauliza jamani niambieni, mtu anayetaka watu waishi kama mashetani ni nani?
Ni nani huyo anayetumia rambirambi za wahanga huku akiwananga?
Anayetaka wasiokuwa na pesa ya kivuko wapige mbizi, ana upendo sana ati ehee?
Hivi kweli anayejali atawaambia watumishi wake muhimu ati wakabangue korosho kwa meno?
Ni jeuri ya namna kumwambia msaidizi na mtendaji wako mkuu ati nitawapiga hata shangazi zako!! Kweli?
MUNGU ATUPONYE NA ROHO YA USADIST, NI ROHO YA KOROSHO NA HAIFAI KABISA.
MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU.