Mnyika angeakuwa stupid angeshindwa kutofautisha matumizi sahihi ya neno weak na sadist! Kifupi Mnyika sio level yako.Mnyika is stupid!

Good, entitled to your opinion.Mnyika is stupid!
Mnyika is stupid!
Ni haki, ndivyo anavyomuona huyo mtu. Kutofautiana nae ni haki yako nawe. Cha msingi ni hoja zake.Mnyika anaona kutoa kauli kama hizo ndio ataonekana mwanaharakati haswa.
Inasikitisha namna tulivyo na wapinzani hovyo hapa nchini
SadistAmekuwa muoga sana sasa. Mbona anaficha ficha.
jiwe la gizani limepiga kunako (utosini)!!Ni maneno ya Mbunge wa Kibamba na kiongozi wa CHADEMA, John J. Mnyika.
Ametweet kwamba taifa linaongozwa na sadist. Sijui anamaanisha taifa gani ila huenda akawa anamaanisha Tanzania. Kwa maana hiyo, kiongozi wa taifa hili ni sadist!
Sadist ni neno la kiingereza linalomaanisha mtu ambaye furaha yake inapatikana pale anapowaumiza wengine. Ni kama katili fulani hivi anayeburudishwa na mateso ya watu wengine.
Si mara ya kwanza kwa Mnyika kutoa misemo ya alama kwa viongozi wa taifa hili. Itakumbukwa wakati wa Rais Kikwete alimuita Rais huyo Dhaifu bungeni na jina hilo likavuma mpaka sasa.
Hili sio tusi kweli?!
Ni kwa jinsi ulivyojenga hoja zakoMbona unaniweka kwenye kundi la wasiopenda kuambiwa ukweli? Kisa nimeleta taarifa tu ama nini..
SjuiiiNi maneno ya Mbunge wa Kibamba na kiongozi wa CHADEMA, John J. Mnyika.
Ametweet kwamba taifa linaongozwa na sadist. Sijui anamaanisha taifa gani ila huenda akawa anamaanisha Tanzania. Kwa maana hiyo, kiongozi wa taifa hili ni sadist!
Sadist ni neno la kiingereza linalomaanisha mtu ambaye furaha yake inapatikana pale anapowaumiza wengine. Ni kama katili fulani hivi anayeburudishwa na mateso ya watu wengine.
Si mara ya kwanza kwa Mnyika kutoa misemo ya alama kwa viongozi wa taifa hili. Itakumbukwa wakati wa Rais Kikwete alimuita Rais huyo Dhaifu bungeni na jina hilo likavuma mpaka sasa.
Hili sio tusi kweli?!
Ww uliyetafsiri kauli yake, ndio stupid hakumyaja mtu, ila ww ndio umesema.Mnyika is stupid!
Ww uliyetafsiri kauli yake, ndio stupid hakumyaja mtu, ila ww ndio umesema.
Si mlisema mnakamilisha usajili wake yeye na Kubenea vipi tena.Mnyika anaona kutoa kauli kama hizo ndio ataonekana mwanaharakati haswa.
Inasikitisha namna tulivyo na wapinzani hovyo hapa nchini
Talking loads of rubbishNi sadist kweli ,ndiyo maana mwenyekiti yupo South Africa akisumbuliwa na alosto baada ya ile biashara kupigwa marufuku
Ni tusi kama unamlenga mtu ambae hana hiyo tabia na sii tusi kama unamlenga mtu mwenye hiyo tabia.Ni maneno ya Mbunge wa Kibamba na kiongozi wa CHADEMA, John J. Mnyika.
Ametweet kwamba taifa linaongozwa na sadist. Sijui anamaanisha taifa gani ila huenda akawa anamaanisha Tanzania. Kwa maana hiyo, kiongozi wa taifa hili ni sadist!
Sadist ni neno la kiingereza linalomaanisha mtu ambaye furaha yake inapatikana pale anapowaumiza wengine. Ni kama katili fulani hivi anayeburudishwa na mateso ya watu wengine.
Si mara ya kwanza kwa Mnyika kutoa misemo ya alama kwa viongozi wa taifa hili. Itakumbukwa wakati wa Rais Kikwete alimuita Rais huyo Dhaifu bungeni na jina hilo likavuma mpaka sasa.
Hili sio tusi kweli?!
Lakini husikitishwi na mauaji na utekajiMnyika anaona kutoa kauli kama hizo ndio ataonekana mwanaharakati haswa.
Inasikitisha namna tulivyo na wapinzani hovyo hapa nchini
mpangie bas kua mpinzani anatakiwa aweje ili asiwe wa hivyoMnyika anaona kutoa kauli kama hizo ndio ataonekana mwanaharakati haswa.