Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,272
Ameuliza ina maana hata yeye hajuiKama ni tusi kwa nini ushiriki kusambaza matusi?
Ameuliza ina maana hata yeye hajuiKama ni tusi kwa nini ushiriki kusambaza matusi?
Siyo foolish?Mnyika is stupid!
Siyo foolish?
Ni maneno ya Mbunge wa Kibamba na kiongozi wa CHADEMA, John J. Mnyika.
Ametweet kwamba taifa linaongozwa na sadist. Sijui anamaanisha taifa gani ila huenda akawa anamaanisha Tanzania. Kwa maana hiyo, kiongozi wa taifa hili ni sadist!
Sadist ni neno la kiingereza linalomaanisha mtu ambaye furaha yake inapatikana pale anapowaumiza wengine. Ni kama katili fulani hivi anayeburudishwa na mateso ya watu wengine.
Si mara ya kwanza kwa Mnyika kutoa misemo ya alama kwa viongozi wa taifa hili. Itakumbukwa wakati wa Rais Kikwete alimuita Rais huyo Dhaifu bungeni na jina hilo likavuma mpaka sasa.
Hili sio tusi kweli?!
AssholeMnyika is stupid!
Hivi Mnyika anajua Kibamba mpaka leo barabara kibao zinapitika kwa shida sana,akipata muda apite Segerea atashangaa sana
...where people derives pleasure from inflicting pain or humiliation on others!Sadist ni neno lenye fumbo zito sana. Ili mtu alielewe basi English Grammar iwe imelala vizuri kichwani.
Tayari wenye kabila lao wameanza matusi , msome nyani ngabu .Jiwe gizani, nasubiri kuona damu zikitiririka kutoka kwa litakayempata
Kama alivyo jiwe pale magogoni?Mnyika is stupid!
Sisi ndio tunaamua mahali pa kupeleka fedha za maendeleo na hamna cha kutufanya - Heri James , Mwenyekiti UVCCMHivi Mnyika anajua Kibamba mpaka leo barabara kibao zinapitika kwa shida sana,akipata muda apite Segerea atashangaa sana
Asshole
Aumie tu ujumbe ushafikaTayari wenye kabila lao wameanza matusi , msome nyani ngabu .
My observation so far: Oppression never silince people,instead it does the opposite.