Samahani, unaelimu gani?Ni sadist kweli ,ndiyo maana mwenyekiti yupo South Africa akisumbuliwa na alosto baada ya ile biashara kupigwa marufuku
Samahani, unaelimu gani?Ni sadist kweli ,ndiyo maana mwenyekiti yupo South Africa akisumbuliwa na alosto baada ya ile biashara kupigwa marufuku
Hivi Mnyika anajua Kibamba mpaka leo barabara kibao zinapitika kwa shida sana,akipata muda apite Segerea atashangaa sana
Umetoa tafsiri sahihi ya hilo neno.jam
Jamani can this be true?
sadism : a person who takes pleasure in inflicting pain, punishment, or humiliation on others a sexual sadist He's a sadist and, where Toby is concerned, an unusually relentless one: he's in the boy's face constantly, prodding, belittling, taunting.—
Wengi hawaonekani kwa sasa!
Yeyote anaechukua madaraka bila idhini ya walio wengi anaingia katika hilo kundi.Ni maneno ya Mbunge wa Kibamba na kiongozi wa CHADEMA, John J. Mnyika.
Ametweet kwamba taifa linaongozwa na sadist. Sijui anamaanisha taifa gani ila huenda akawa anamaanisha Tanzania. Kwa maana hiyo, kiongozi wa taifa hili ni sadist!
Sadist ni neno la kiingereza linalomaanisha mtu ambaye furaha yake inapatikana pale anapowaumiza wengine. Ni kama katili fulani hivi anayeburudishwa na mateso ya watu wengine.
Si mara ya kwanza kwa Mnyika kutoa misemo ya alama kwa viongozi wa taifa hili. Itakumbukwa wakati wa Rais Kikwete alimuita Rais huyo Dhaifu bungeni na jina hilo likavuma mpaka sasa.
Hili sio tusi kweli?!
Magufuli alichikua nchi bila ridhaa?Yeyote anaechukua madaraka bila idhini ya walio wengi anaingia katika hilo kundi.
Waombolezaji siyo WAJINGA.ipo sikiNi maneno ya Mbunge wa Kibamba na kiongozi wa CHADEMA, John J. Mnyika.
Ametweet kwamba taifa linaongozwa na sadist. Sijui anamaanisha taifa gani ila huenda akawa anamaanisha Tanzania. Kwa maana hiyo, kiongozi wa taifa hili ni sadist!
Sadist ni neno la kiingereza linalomaanisha mtu ambaye furaha yake inapatikana pale anapowaumiza wengine. Ni kama katili fulani hivi anayeburudishwa na mateso ya watu wengine.
Si mara ya kwanza kwa Mnyika kutoa misemo ya alama kwa viongozi wa taifa hili. Itakumbukwa wakati wa Rais Kikwete alimuita Rais huyo Dhaifu bungeni na jina hilo likavuma mpaka sasa.
Hili sio tusi kweli?!
UfukunyukuUfukunyungu