Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,284
- 40,902
Sisi watanzania bwana,kazi Kweli
Mshamba ni wewe unayeona Kiingereza ni kitu cha kuringia!!!
Kwangu Kiingereza kawaida tu.
Ulu ulehaya du dugije gulunga lunga lulu I Jisukuma.
Yani nimeshakusoma sana tu, unakujaga na vimisamiati flani hivi vya kingereza vya kuwaringishia wenzako, kisa tu unaishi wapi sijui, basi ukishaweka sentensi zako za kingereza unaona kama hakuna mtu mwingine JF anajua kama wewe, kumbe wengine wapo wengi tu, sema wanakuchora tu.
Tatizo lipo kwa hao waliotawala tangu mwaka 1962 mpaka leo hata shimo la choo mpaka tukope au waje wahisani toka marekani.Hivi Mnyika anajua Kibamba mpaka leo barabara kibao zinapitika kwa shida sana,akipata muda apite Segerea atashangaa sana
.........and you are a moron!Mnyika is stupid!
Waliahidi nini na hawajadeliva nini?huyo na Mdee wajiandae mapema kabisa,hamna tume wala nini,hawajadeliver chochote hii term
Mnyika is stupid!
and u stupidistMnyika is stupid!
LAKINI hatapoteza muda kutenga fungu la kughalimia mchakato wa katiba mpya kwani siyo PRIORITY than SGR. Na ni kweli kabisa.
Asha ngedere upoNi sadist kweli ,ndiyo maana mwenyekiti yupo South Africa akisumbuliwa na alosto baada ya ile biashara kupigwa marufuku
Lumumba wengi hamna marinduu mbio za mwenge zimeondoa yoteMnyika anaona kutoa kauli kama hizo ndio ataonekana mwanaharakati haswa.
Inasikitisha namna tulivyo na wapinzani hovyo hapa nchini
Fafanua kwanza tusi maana yake ni nini?Ni maneno ya Mbunge wa Kibamba na kiongozi wa CHADEMA, John J. Mnyika.
Ametweet kwamba taifa linaongozwa na sadist. Sijui anamaanisha taifa gani ila huenda akawa anamaanisha Tanzania. Kwa maana hiyo, kiongozi wa taifa hili ni sadist!
Sadist ni neno la kiingereza linalomaanisha mtu ambaye furaha yake inapatikana pale anapowaumiza wengine. Ni kama katili fulani hivi anayeburudishwa na mateso ya watu wengine.
Si mara ya kwanza kwa Mnyika kutoa misemo ya alama kwa viongozi wa taifa hili. Itakumbukwa wakati wa Rais Kikwete alimuita Rais huyo Dhaifu bungeni na jina hilo likavuma mpaka sasa.
Hili sio tusi kweli?!
Hilo mwambie RC wenu sio anakaa ofisini mpka msambwanda unaumuka tu,kazi yake ni kusimamia maendeleo ya dar sio kumbwelambwela tuHivi Mnyika anajua Kibamba mpaka leo barabara kibao zinapitika kwa shida sana,akipata muda apite Segerea atashangaa sana
Kwa hisani ya kailima na policeccm bila hivyo mngekua mnakata mauno chattle huko mkinywa lubisikama haombi hela ,huyu jamaa atakuwa mmoja ya watu wa kwanza kwnza kuachia jimbo na dada yake Mdee, sio mbaya tutaendelea kuwa pamoja nao kwenye mitandao
Ongeeni vizuri na mnyika muda bado mwingi ,miaka 2Kwa hisani ya kailima na policeccm bila hivyo mngekua mnakata mauno chattle huko mkinywa lubisi
Yule sio hawa ambao leo umewaona wanamsifia magu ili wapate vyeoOngeeni vizuri na mnyika muda bado mwingi ,miaka 2