John Mnyika: Taifa linaongozwa na sadist..

John Mnyika: Taifa linaongozwa na sadist..

Ni maneno ya Mbunge wa Kibamba na kiongozi wa CHADEMA, John J. Mnyika.

Ametweet kwamba taifa linaongozwa na sadist. Sijui anamaanisha taifa gani ila huenda akawa anamaanisha Tanzania. Kwa maana hiyo, kiongozi wa taifa hili ni sadist!

Sadist ni neno la kiingereza linalomaanisha mtu ambaye furaha yake inapatikana pale anapowaumiza wengine. Ni kama katili fulani hivi anayeburudishwa na mateso ya watu wengine.

Si mara ya kwanza kwa Mnyika kutoa misemo ya alama kwa viongozi wa taifa hili. Itakumbukwa wakati wa Rais Kikwete alimuita Rais huyo Dhaifu bungeni na jina hilo likavuma mpaka sasa.

Hili sio tusi kweli?!
Rubbish!
 
Mnyika amesahau watu walisema ana mtindio wa ubongo? Kwa sababu hajawahi kukanusha tumuulize aliponaepona?
 
Mh. Mnyika hajakosea kabisa kwa hawa watu wawili kuwapa sifa hizo kwani zinawa-'fit' kabisa.
Mmoja alikuwa ni "dhaifu"
Na mwingine "Afurahiae kuona wengine wakiteseka", ndio maana alianza na kuweka watu mahabusu n.k.
Mnyika anapoteza muda Meli imeshang'oa nanga asubiri 2025.Na leo Accounting Officer wa nchi kaweka wazi kuwa; hazina umeongezeka Reserve Fund usd 5.4bln, uchumi unatarajiwa kukua kwa 8% LAKINI hatapoteza muda kutenga fungu la kughalimia mchakato wa katiba mpya kwani siyo PRIORITY than SGR. Na ni kweli kabisa.
 
Wewe unasemaje? Na kwanini ufikirie hivyo? Kama wewe unaamini kuwa ni tusi basi hutakwepa mkono wa sheria za mtandao kwa kusambaza matusi! Jiandae.
Intimidation? Not here boss..
 
I’d slap you like a little whore.
tatizo nyani unaringaga na hicho kingereza chako, utadhani kujua kingereza ndio dili. Mbona huku bongo maisha yanaenda tu bila hicho kingereza. naona kama una kaushamba fulani hivi😀😛. ni mtazamo wangu tu
 
Intimidation? Not here boss..
Hii lugha ya kitumwa huwa siielewi na siitumii kwani mimi siyo mtumwa! Waonaje ukawaandikia watumwa wenzako? Kama kweli wewe ni mtumwa haswaaa ni kwanini hoja yako hukuileta kwa lugha hii? Kienzi kilicho chako kabla ya kusifia cha mwenzako! Nakuelimisha tu japo nakununisha!
 
tatizo nyani unaringaga na hicho kingereza chako, utadhani kujua kingereza ndio dili. Mbona huku bongo maisha yanaenda tu bila hicho kingereza. naona kama una kaushamba fulani hivi😀😛. ni mtazamo wangu tu

Mshamba ni wewe unayeona Kiingereza ni kitu cha kuringia!!!

Kwangu Kiingereza kawaida tu.

Ulu ulehaya du dugije gulunga lunga lulu I Jisukuma.
 
Back
Top Bottom