John Mnyika: Taifa linaongozwa na sadist..

kama haombi hela ,huyu jamaa atakuwa mmoja ya watu wa kwanza kwnza kuachia jimbo na dada yake Mdee, sio mbaya tutaendelea kuwa pamoja nao kwenye mitandao
nimekuandikia ujumbe wa kiongozi wako unajifanya kuruka vihunzi .
 
huyo na Mdee wajiandae mapema kabisa,hamna tume wala nini,hawajadeliver chochote hii term
shida yako unadhani Tanzania ni dar tu! tembea mikoani na wilayani kisha uje useme nani kadeliver. mbona ccm haijadeliver tangu uhuru na bado ipo madarakani? taahira wewe! unaposema mbunge haja deliver unamanisha nini Hasa?
 
Ni maneno ya Mbunge wa Kibamba na kiongozi wa CHADEMA, John J. Mnyika.

Ametweet kwamba taifa linaongozwa na sadist. Sijui anamaanisha taifa gani ila huenda akawa anamaanisha Tanzania. Kwa maana hiyo, kiongozi wa taifa hili ni sadist!

Sadist ni neno la kiingereza linalomaanisha mtu ambaye furaha yake inapatikana pale anapowaumiza wengine. Ni kama katili fulani hivi anayeburudishwa na mateso ya watu wengine.

Si mara ya kwanza kwa Mnyika kutoa misemo ya alama kwa viongozi wa taifa hili. Itakumbukwa wakati wa Rais Kikwete alimuita Rais huyo Dhaifu bungeni na jina hilo likavuma mpaka sasa.

Hili sio tusi kweli?!
Inasikitisha sana Mnyika nae anaongozwa na sadist.
 
Atabadilisha ngonjera kwa kila kipindi! Mi nilijua na huyu atamuita Dhaifu! kumbe kajua kama ni chuma cha pua!
 
Ni maneno ya Mbunge wa Kibamba na kiongozi wa CHADEMA, John J. Mnyika.

Ametweet kwamba taifa linaongozwa na sadist. Sijui anamaanisha taifa gani ila huenda akawa anamaanisha Tanzania. Kwa maana hiyo, kiongozi wa taifa hili ni sadist!

Sadist ni neno la kiingereza linalomaanisha mtu ambaye furaha yake inapatikana pale anapowaumiza wengine. Ni kama katili fulani hivi anayeburudishwa na mateso ya watu wengine.

Si mara ya kwanza kwa Mnyika kutoa misemo ya alama kwa viongozi wa taifa hili. Itakumbukwa wakati wa Rais Kikwete alimuita Rais huyo Dhaifu bungeni na jina hilo likavuma mpaka sasa.

Hili sio tusi kweli?!
Kwa uandishi wako umekaa kichonganishi kwamba ionekane fulani ametukanwa ili Mnyika akamatwe ili wewe ufurahi.Wewe pia ni Sadist!
 
...where people derives pleasure from inflicting pain or humiliation on others!

In many cases it has happened sexually! But many dictators can also be sadists!
Ndo maana nikasema ili mtu ulewe basi ni lazima English Grammar iwe imelala kichwani. Hicho ni kipengele kimoja tu ulichoweka, ambacho ni uasisi wa hilo neno. Twende kwa undani zaidi;

Tuangalie "Noun".

Sadism (countable and uncountable, plural sadisms)

1. (Chiefly psychiatry) The enjoyment of inflicting pain or humiliation without pity.

2. Achievement of sexual gratification by inflicting pain or humiliation on others, or watching pain or humiliation inflicted on others.

3. (In general) Deliberate cruelty, either mental or physical, to other people, or to animals, regardless of whether for (sexual) gratification.
 
Kuweka kipengele kimoja haina maana kwamba sielewi mkuu, vipi tena?

Easy peasy.
 
Ni maneno ya Mbunge wa Kibamba na kiongozi wa CHADEMA, John J. Mnyika.

Ametweet kwamba taifa linaongozwa na sadist. Sijui anamaanisha taifa gani ila huenda akawa anamaanisha Tanzania. Kwa maana hiyo, kiongozi wa taifa hili ni sadist!

Sadist ni neno la kiingereza linalomaanisha mtu ambaye furaha yake inapatikana pale anapowaumiza wengine. Ni kama katili fulani hivi anayeburudishwa na mateso ya watu wengine.

Si mara ya kwanza kwa Mnyika kutoa misemo ya alama kwa viongozi wa taifa hili. Itakumbu kwa wakati wa Rais Kikwete alimuita Rais huyo Dhaifu bungeni na jina hilo likavuma mpaka sasa.

Hili sio tusi kweli?!
Huo ni ukweli mtupu jpm ni sadist
 
Ni maneno ya Mbunge wa Kibamba na kiongozi wa CHADEMA, John J. Mnyika.

Ametweet kwamba taifa linaongozwa na sadist. Sijui anamaanisha taifa gani ila huenda akawa anamaanisha Tanzania. Kwa maana hiyo, kiongozi wa taifa hili ni sadist!

Sadist ni neno la kiingereza linalomaanisha mtu ambaye furaha yake inapatikana pale anapowaumiza wengine. Ni kama katili fulani hivi anayeburudishwa na mateso ya watu wengine.

Si mara ya kwanza kwa Mnyika kutoa misemo ya alama kwa viongozi wa taifa hili. Itakumbukwa wakati wa Rais Kikwete alimuita Rais huyo Dhaifu bungeni na jina hilo likavuma mpaka sasa.

Hili sio tusi kweli?!
Poleni ndio ukweli wenyewe. Au hamtaki kuambiwa kweli wakati kila siku mwajisifu mnapenda kusema au kuwaambia wengine kweli.
 
Back
Top Bottom