Nchi hii hakuna sheria wala utaratibu wa polisi kupangia mtu aende wapi, au asiende wapi..
Polisi Tanzania hawana mamlaka kisheria wala kikatiba kuingilia uhuru wa watu kwenda wanapotaka wao wenyewe..
Polisi Nchi nzima wameweka barriers wanakamata viongozi na wanachama wa Bawacha waliokua wanaenda Musoma kusherekea Siku ya wanawake Duniani.
Magari yaliyobeba viongozi hawa yanakamatwa na wanashikikiwa maeneo mbalimbali ya Nchi bila sababu… Dakawa, Mlandizi, Geita na maeneo mengine.
Hili jaribio la kuzia watu kufanya movement ndani ya Nchi na kuzia watu kufanya shughuli zao halali, Wengine wanaweza kufikiri litaishia kwa Chadema..
Tukiruhusu madikteta wachache wao ndio waamue, wapi twende wakati gani, tule au tusile, tulale au tukeshe itakua hatari kubwa mno..
Uhuru uliopiganiwa na wazee wetu hauna maana tena katika mazingira haya.