paschal Burra
JF-Expert Member
- Jul 1, 2021
- 374
- 332
Na nyie gaidi lenu lipo ndani linanyea ndoo Tanzania bila ugaidi inawezekanaSukuma gang naona unajipa faraja baada ya jini lenu kufa na Sasa linabagazwa na mama kwamba lilikuwa fisadi
Na nyie gaidi lenu lipo ndani linanyea ndoo Tanzania bila ugaidi inawezekanaSukuma gang naona unajipa faraja baada ya jini lenu kufa na Sasa linabagazwa na mama kwamba lilikuwa fisadi
Bado yuko haii lkn. Jini jiwe je?Na nyie gaidi lenu lipo ndani linanyea ndoo Tanzania bila ugaidi inawezekana
Hongera kwa kashfa!Na nyie gaidi lenu lipo ndani linanyea ndoo Tanzania bila ugaidi inawezekana
Wanafiki watupu,wao wenyewe si wanajiuza so acha wanunuliwe.Kuota ndoto ya kukuza Chama ni heri kuliko kuota kuteka na kununua wapinzani!
Hongereni sana CHADEMA. Number lazima iongezeke zaidi kuwin more people's influenceMbunge wa zamani wa Chadema jimbo la Tarime amesema hivi sasa chama hicho kimepata mafanikio makubwa kutokana na kampeni ya Chadema digito inayoendelea. Amesema hayo leo tarehe 4 Disemba 2021 kupitia kipindi cha Medani ya Siasa cha Star TV kinachoendeshwa na Odemba. Amesema kupitia kampeni hiyo chama hicho kimesajili wanachama milioni nane.
Aidha amesema kutokana na kuwa na wanachama hao milioni nane ambao wanachangia Shs. 500/= kwa mwezi kila mmoja, Chama kinapata Shs. Bilioni nne kwa mwezi.
Fedha hizo zitakiwezesha Chadema kuendesha shughuli za kiofisi na kujenga ofisi mpya katika majimbo mbalimbali.
Nimemsikiliza kwa makini sana maana anatema madini tupu.
Mimi ni mpenzi wa The Big Agenda ila kwa ijumaa sijakitazama kwakuwa alikuwa polepole hakuna cha maana angekisema zaidi ya tantalila na mipasho mtu mwenye ndimi mbili(popo) haaminiki.
Nani kamwambia ccm inachaguliwa ccm inatangazwa! nani mwenye akili timamu anachagua ccmwaoneshe mfano kwa kuweka wazi hesabu za makusanyo na matumizi ya chama ikiwezekana kila mwezi...
wanachama 8mil iwe ni halisi na wawe wanapiga kura....kama CDM ina wanachama hai 8mil..CCM itakuwa na wanachama wangapi? maana wanufaika wa CCM ni wengi kuliko tunavyofikiri kuanzia huko mashinani mpaka mikoani kwa viongozi na familia zao...kumbuka CCM imefika kila mahala kuanzia kigonsela, nanyamba mpaka kibirizi na mwandiga kwa ZZK...
Polepole ni futuhi!Polepole anaulizwa mikutano ya siasa imezuiwa kwa sheria ipi anasema nchi haiongozwi kwa katiba na sheria tu bali pamoja na matamko, amri na utamaduni!
Uchaguzi ujao bwana umeme atazima umeme kufanikisha wizi, maana uchaguzi wa 2015 alisimamia tcra!Nani kamwambia ccm inachaguliwa ccm inatangazwa! nani mwenye akili timamu anachagua ccm
Heche nae ni propagandist, Chadema wameamua kutumia uongo ili kujiweka kwenye mstari..Mbunge wa zamani wa Chadema jimbo la Tarime amesema hivi sasa chama hicho kimepata mafanikio makubwa kutokana na kampeni ya Chadema digito inayoendelea. Amesema hayo leo tarehe 4 Disemba 2021 kupitia kipindi cha Medani ya Siasa cha Star TV kinachoendeshwa na Odemba. Amesema kupitia kampeni hiyo chama hicho kimesajili wanachama milioni nane.
Aidha amesema kutokana na kuwa na wanachama hao milioni nane ambao wanachangia Shs. 500/= kwa mwezi kila mmoja, Chama kinapata Shs. Bilioni nne kwa mwezi.
Fedha hizo zitakiwezesha Chadema kuendesha shughuli za kiofisi na kujenga ofisi mpya katika majimbo mbalimbali.
Aweke nini sasa, majina ya wanachama wao?Heche nae ni propagandist, Chadema wameamua kutumia uongo ili kujiweka kwenye mstari..
Uongo sana tu huo, aweke evidence hapa
Unatumia simu aina gani?
Kwani wewe hutakufa usijivunie uhai wote tutakufa na swala la kushika dola chadema msiote kabisa chama chenu kimekosa mvutoBado yuko haii lkn. Jini jiwe je?
Ndio chazo cha kuteka, kutesa nakuua..8M kwa usawa huu. Kumbe Tz More than 15 M wapiga kura ni Chadema. Maana mazingira yenyewe yanatisha
Mtekwe na nani nyie na nani awaibie kura chadema imekosa sera na mvuto kwa wananchi mmebakia kutafuta huruma za wananchi na mataifa ya mabeberu hizi za kutekwa, kuibiwa kura, kuuawa ni propaganda za chadema baada ya kushindwa uchaguziNdio chazo cha kuteka, kutesa nakuua..
Kuiba chaguzi na kijitatangaza bila kupigiwa kura.
CCM = Chama maiti
Ndoto za abnuwasiHongereni sana CHADEMA. Number lazima iongezeke zaidi kuwin more people's influence
Unaweza kudhani watanzania wana matatizo, kumbe wewe ndio mwenye matatizo.Sema watanzania siasa kwao ni.kitu chanyongeza tu wengi wanapenda umbeya kuliko chochote angalia siku zicheze simba na yanga nchi inavyosimama kwa mjadara wa mabishano ila watu wakileta habari za katiba awakuelewi aliyeturoga halitupatia kweli kweli.