Uroho wa madaraka waendelea kuitafuna CHADEMA

Maryam Malya

Senior Member
Nov 29, 2021
115
258
Ule msema wa mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote ndo kinachokwenda kumtokea Mwenyekiti wa Chadema Freeman Elikaeli Mbowe na Makamu mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu kwa kile kinachoonekana Sintofahamu baina yao kutokana na Nani atakiwakilisha chama katika Uchaguzi Mkuu 2025 kwa nafasi ya URais!!!!

Kumekuwa na misuguano inayoendelea mara kadhaa kwa kutofautiana kauli baina yao jambo ambalo linashangaza kiongozi Mkuu kama Mwenyekiti wa Chama na Makamu kutokuwa na kauli moja ndani ya Chama kwa kila mmoja kutaka kuonyesha ukubwa wake hahaahahah inastaajabisha

Sasa hilo limeenda mbali zaidi ambapo Mbowe ameendelea kutumia Ubabe kwa kuwa Chama ni Chake na nafasi yake kama Mwenyekiti wa Chama kutaka nafasi zote ya Uenyekiti na sasa ameanza harakati zake za Kampeni za Urais 2025 kupitia Chadema

Wadau wamejiuliza mengi huko mitandaoni hili linawezekana vipi Mtu mmoja kutaka nafasi zote peke yake lakini pia Lisssu hakutarajia haya kwani yeye anajua ndiye atakayekiwakilisha Chama hicho kwenye Uchaguzi 2025 huku Mbowe kamgeuga na sasa anataka yeye ashike nafasi zote ili aendelee na ubabe na ubadhirifu unaonendelea ndani ya Chadema bila kuhojiwa na yeyote sababu kikawaida kinachokwenda kutokea Lissu ataachia ngazi kama Makamu mwenyekiti na ameshaanza mpango wa kuanzisha chama chake ili apate nafasi ya Uenyekiti na Hatimaye kuwa Mgombea Urais jambo ambalo kwa CHADEMA limeshindikana mpaka sasa

Hebu tizama maoni ya ya watu mbali mbali mtandaoni wakihoji juu ya nia ya Mbowe kutaka kuwania nafasi ya Urais 2025!!!
 
Mkuu Maryam Malya , kwanza sio kweli Mbowe anataka kuwania urais, kwasababu kwenye maridhiano, kuna kitu kinaitwa nusu mkate, ambapo CCM na Chadema wamekubaliana kuna baadhi ya maeneo CCM itawaachia Chadema ikiwemo Hai!.

Lissu hakubali maridhiano ayaita ni ujinga!, na haukumbali mpango huo wa nusu mkate hivyo amemtukana Mwenyekiti wake indirectly kuwa hana akili!. Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

Ila pia Chadema wana tatizo kubwa la wanachama kujimilikisha ugombea urais. Uchaguzi wa 2010 Dr. Slaa aligombea urais kupitia Chadema akashindwa na kujimilikisha ugombea wa 2015. Chadema walipompitisha Lowassa, Dr. Slaa akasusa akajitoa!.

Lissu aligombea urais 2020 kupitia Chadema, akashindwa, sasa amejimilikisha ugombea urais wa Chadema 2025. Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA nilisema
Wanabodi
Lissu alipoulizwa kuhusu yeye kugombea urais 2025 alijibu kwanza katiba, alipobanwa sana akasema ndio atagombea!. That was a mistake!. Kwa vile Chadema bado hawajafanya kikao chochote cha kumteua mgombea wake wa urais wa 2025, hakuna ubaya wowote kwa mwana Chadema yeyote kuwa a wishful thinker kugombea urais 2025 lakini kutamka kwenye TV kuwa yes nitagombea wakati hakuna kikao chochote kilichomteua ni very dangerous!.

He who pays the piper, may call the tune!, whoever is paying the Chadema piper ndio may call the tune, nani agombee Chadema ili usimsumbue yule Malkia wetu, ikitokea sio Lissu, na huku Lissu ameisha tangaza kugombea, huko ndani kutakalika?.
Paskali
Chadema bado hajaanza mchakato wa kugombea 2025, hivyo kila mwenye nia ya kugombea nafasi yoyote awe free kutangaza nia.

P
 
Mkuu Maryam Malya , kwanza sio kweli Mbowe anataka kuwania urais, kwasababu kwenye maridhiano, kuna kitu kinaitwa nusu mkate, ambapo CCM na Chadema wamekubaliana kuna baadhi ya maeneo CCM itawaachia Chadema ikiwemo Hai!.

Lissu hakubali maridhiano ayaita ni ujinga!, na haukumbali mpango huo wa nusu mkate hivyo amemtukana Mwenyekiti wake indirectly kuwa hana akili!. Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
P
Zitto na Feeeman ni Wabunge 2025-2030
 
waida kinachokwenda kutokea Lissu ataachia ngazi kama Makamu mwenyekiti na ameshaanza mpango wa kuanzisha chama chake ili apate nafasi ya Uenyekiti na Hatimaye kuwa Mgombea Urais jambo ambalo kwa CHADEMA limeshindikana mpaka sasa

Hebu tizama maoni ya ya watu mbali mbali mtandaoni wakihoji juu ya nia ya Mbowe kutaka kuwania nafasi ya Urais 2025!!!

Naomba nikushauri mambo mawili:

1. Punguza bangi za uzeeni utawehuka.

2. Weka namba yako ya Simu ili utumiwe buku Saba.
 
Ule msema wa mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote ndo kinachokwenda kumtokea Mwenyekiti wa Chadema Freeman Elikaeli Mbowe na Makamu mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu kwa kile kinachoonekana Sintofahamu baina yao kutokana na Nani atakiwakilisha chama katika Uchaguzi Mkuu 2025 kwa nafasi ya URais!!!!

Kumekuwa na misuguano inayoendelea mara kadhaa kwa kutofautiana kauli baina yao jambo ambalo linashangaza kiongozi Mkuu kama Mwenyekiti wa Chama na Makamu kutokuwa na kauli moja ndani ya Chama kwa kila mmoja kutaka kuonyesha ukubwa wake hahaahahah inastaajabisha

Sasa hilo limeenda mbali zaidi ambapo Mbowe ameendelea kutumia Ubabe kwa kuwa Chama ni Chake na nafasi yake kama Mwenyekiti wa Chama kutaka nafasi zote ya Uenyekiti na sasa ameanza harakati zake za Kampeni za Urais 2025 kupitia Chadema

Wadau wamejiuliza mengi huko mitandaoni hili linawezekana vipi Mtu mmoja kutaka nafasi zote peke yake lakini pia Lisssu hakutarajia haya kwani yeye anajua ndiye atakayekiwakilisha Chama hicho kwenye Uchaguzi 2025 huku Mbowe kamgeuga na sasa anataka yeye ashike nafasi zote ili aendelee na ubabe na ubadhirifu unaonendelea ndani ya Chadema bila kuhojiwa na yeyote sababu kikawaida kinachokwenda kutokea Lissu ataachia ngazi kama Makamu mwenyekiti na ameshaanza mpango wa kuanzisha chama chake ili apate nafasi ya Uenyekiti na Hatimaye kuwa Mgombea Urais jambo ambalo kwa CHADEMA limeshindikana mpaka sasa

Hebu tizama maoni ya ya watu mbali mbali mtandaoni wakihoji juu ya nia ya Mbowe kutaka kuwania nafasi ya Urais 2025!!!
ni ngumu patriot na puppet kukaa nyumba moja, hili haliwezekani hata kidogo..
 
Lissu aache ujinga wa kumharibia mtu biashara yake ya urithi. Akiache CHADEMA akajiunge na chama cha Fahmi Dovutwa. Kuhusu Mbowe kugombea urais ninakataa. Mbowe kwa sasa anamsapoti Mama Samia kwa 100% na pia hawezi acha ulaji wa ubunge kwa kugombea urais ambao hawezi shinda. Kwa asilimia kubwa atakachokifanya Mbowe ni kuazima mgombea toka CCM kama alivyofanya 2015 ili kuzugia kwenye uchaguzi 2025. Nashauri aongee na Ndugai mapema.
 
Mkuu Maryam Malya , kwanza sio kweli Mbowe anataka kuwania urais, kwasababu kwenye maridhiano, kuna kitu kinaitwa nusu mkate, ambapo CCM na Chadema wamekubaliana kuna baadhi ya maeneo CCM itawaachia Chadema ikiwemo Hai!.

Lissu hakubali maridhiano ayaita ni ujinga!, na haukumbali mpango huo wa nusu mkate hivyo amemtukana Mwenyekiti wake indirectly kuwa hana akili!. Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

Ila pia Chadema wana tatizo kubwa la wanachama kujimilikisha ugombea urais. Uchaguzi wa 2010 Dr. Slaa aligombea urais kupitia Chadema akashindwa na kujimilikisha ugombea wa 2015. Chadema walipompitisha Lowassa, Dr. Slaa akasusa akajitoa!.

Lissu aligombea urais 2020 kupitia Chadema, akashindwa, sasa amejimilikisha ugombea urais wa Chadema 2025. Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA nilisema
Chadema bado hajaanza mchakato wa kugombea 2025, hivyo kila mwenye nia ya kugombea nafasi yoyote awe free kutangaza nia.

P
Acheni umbea na kuchonganisha watu. Lissu ktk suala la uongozi, alisema, yeye kama mwanachama ana haki (na wajibu pia) ya kuchagua na kuchaguliwa ktk nafasi yoyote ya uongozi kwa mujibu wa Katiba ya Chadema; lakini pia, kuhusu kupeperusha bendera ya Chadema kwenye nafasi ya urais 2025, alisema, Chama kupitia wanachama wake wakimchagua kugombea, atagombea kwani anahisi bado ana nguvu na uwezo wa kuongoza nchi hii. Msimuwekee Lissu maneno ya uongo. Wee Pascal vipi!
 
CHADEMA wanaweza kuwa na matatizo yao...
Lakini matokeo ya mapungufu ndani ya ccm yana hasara kubwa leo na kesho kuliko matatizo ya CHADEMA!
 
Ule msema wa mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote ndo kinachokwenda kumtokea Mwenyekiti wa Chadema Freeman Elikaeli Mbowe na Makamu mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu kwa kile kinachoonekana Sintofahamu baina yao kutokana na Nani atakiwakilisha chama katika Uchaguzi Mkuu 2025 kwa nafasi ya URais!!!!

Kumekuwa na misuguano inayoendelea mara kadhaa kwa kutofautiana kauli baina yao jambo ambalo linashangaza kiongozi Mkuu kama Mwenyekiti wa Chama na Makamu kutokuwa na kauli moja ndani ya Chama kwa kila mmoja kutaka kuonyesha ukubwa wake hahaahahah inastaajabisha

Sasa hilo limeenda mbali zaidi ambapo Mbowe ameendelea kutumia Ubabe kwa kuwa Chama ni Chake na nafasi yake kama Mwenyekiti wa Chama kutaka nafasi zote ya Uenyekiti na sasa ameanza harakati zake za Kampeni za Urais 2025 kupitia Chadema

Wadau wamejiuliza mengi huko mitandaoni hili linawezekana vipi Mtu mmoja kutaka nafasi zote peke yake lakini pia Lisssu hakutarajia haya kwani yeye anajua ndiye atakayekiwakilisha Chama hicho kwenye Uchaguzi 2025 huku Mbowe kamgeuga na sasa anataka yeye ashike nafasi zote ili aendelee na ubabe na ubadhirifu unaonendelea ndani ya Chadema bila kuhojiwa na yeyote sababu kikawaida kinachokwenda kutokea Lissu ataachia ngazi kama Makamu mwenyekiti na ameshaanza mpango wa kuanzisha chama chake ili apate nafasi ya Uenyekiti na Hatimaye kuwa Mgombea Urais jambo ambalo kwa CHADEMA limeshindikana mpaka sasa

Hebu tizama maoni ya ya watu mbali mbali mtandaoni wakihoji juu ya nia ya Mbowe kutaka kuwania nafasi ya Urais 2025!!!
Tungo ya kimalaya utakuwa umekalia kitu kigumu chenye ncha butu
 
Acheni umbea na kuchonganisha watu. Lissu ktk suala la uongozi, alisema, yeye kama mwanachama ana haki (na wajibu pia) ya kuchagua na kuchaguliwa ktk nafasi yoyote ya uongozi kwa mujibu wa Katiba ya Chadema; lakini pia, kuhusu kupeperusha bendera ya Chadema kwenye nafasi ya urais 2025, alisema, Chama kupitia wanachama wake wakimchagua kugombea, atagombea kwani anahisi bado ana nguvu na uwezo wa kuongoza nchi hii. Msimuwekee Lissu maneno ya uongo. Wee Pascal vipi!
Mkuu VYEMELO , msikilize
View: https://www.youtube.com/live/myhiyB2E550?si=m-mXdXJ6tsrE1qKB
P
 
Uchaguzi bado muda wake. Vyama vinatakiwa kujiimarisha kwa wananchi (vyote CCM ikiwemo). Wagombea wa vyama watajulikana wakati ukifika.
Hata Rais ambaye ana nafasi ya kugombea kwa mujibu wa katiba ya CCM na ile ya taifa, hajatamka waziwazi kwamba yeye ndiye mgombea (wapambe wana nguvu).
Hata hivyo, kauli ya mwisho ni ya mhusika mwenyewe.
 
Mkuu Maryam Malya , kwanza sio kweli Mbowe anataka kuwania urais, kwasababu kwenye maridhiano, kuna kitu kinaitwa nusu mkate, ambapo CCM na Chadema wamekubaliana kuna baadhi ya maeneo CCM itawaachia Chadema ikiwemo Hai!.

Lissu hakubali maridhiano ayaita ni ujinga!, na haukumbali mpango huo wa nusu mkate hivyo amemtukana Mwenyekiti wake indirectly kuwa hana akili!. Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

Ila pia Chadema wana tatizo kubwa la wanachama kujimilikisha ugombea urais. Uchaguzi wa 2010 Dr. Slaa aligombea urais kupitia Chadema akashindwa na kujimilikisha ugombea wa 2015. Chadema walipompitisha Lowassa, Dr. Slaa akasusa akajitoa!.

Lissu aligombea urais 2020 kupitia Chadema, akashindwa, sasa amejimilikisha ugombea urais wa Chadema 2025. Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA nilisema
Chadema bado hajaanza mchakato wa kugombea 2025, hivyo kila mwenye nia ya kugombea nafasi yoyote awe free kutangaza nia.

P
Mtu mzee anapokuwa muongo ni aibu sana kwa watoto wake .
 
Siku hizi JF anaweza kujitungia kitu akaleta hapa na watu wakaijadili Kama vile ni kweli. Huyu Maryam Malya mwezi mzima Sasa anatunga vistori vyake chumbani na kuleta hapa. Shame on you.
 
Inatosha kusema. Chadema ni gonge la tishio Kwa CCM NDO MAANA WAZEE WAMBEA WAKOMTANDAONINKUSAKA CHAKULA YA SIKU
 
Kwahiyo huko ccm mwenyekiti kuwa ndio mgombea urais ndio huo uchu wa madaraka unaousema ama? Au unapiga propaganda za kizee Hadi unajichanganya?

Duh, Tindo tutake radhi wazee kwa kutufananisha na huyo kuwa anapiga propaganda za kizee! M
Wambie anapiga propaganda za kishamba!
Sie wazee tuko fiti na hatuhusiki na huo uchawa wao
 
Back
Top Bottom