John Heche: CHADEMA ina wanachama milioni nane

Mbunge wa zamani wa Chadema jimbo la Tarime amesema hivi sasa chama hicho kimepata mafanikio makubwa kutokana na kampeni ya Chadema digito inayoendelea. Amesema hayo leo tarehe 4 Disemba 2021 kupitia kipindi cha Medani ya Siasa cha Star TV kinachoendeshwa na Odemba. Amesema kupitia kampeni hiyo chama hicho kimesajili wanachama milioni nane.

Aidha amesema kutokana na kuwa na wanachama hao milioni nane ambao wanachangia Shs. 500/= kwa mwezi kila mmoja, Chama kinapata Shs. Bilioni nne kwa mwezi.

Fedha hizo zitakiwezesha Chadema kuendesha shughuli za kiofisi na kujenga ofisi mpya katika majimbo mbalimbali.
Anaota baada ya kula kijiti.
 
Wanachana milioni 8 lakini ajabu walipoitisha maandamano baada ya uchaguzi hakutoka ata mtu mmoja., ata Tundulisu kiongozi wa upinzani hakuwa jasiri., hakutokeza mahali popote siku ile lakini pia sasa Mwenyekiti wa Chama yupo jela kwa kile wanachodai kabambikiziwa lakini hakuna chochote kinachotokea kwa hao wanachama milioni 8 kwa Mwenyekiti wao ana anaendelea kusota jela.,
 
Mbunge wa zamani wa Chadema jimbo la Tarime amesema hivi sasa chama hicho kimepata mafanikio makubwa kutokana na kampeni ya Chadema digito inayoendelea. Amesema hayo leo tarehe 4 Disemba 2021 kupitia kipindi cha Medani ya Siasa cha Star TV kinachoendeshwa na Odemba. Amesema kupitia kampeni hiyo chama hicho kimesajili wanachama milioni nane.

Aidha amesema kutokana na kuwa na wanachama hao milioni nane ambao wanachangia Shs. 500/= kwa mwezi kila mmoja, Chama kinapata Shs. Bilioni nne kwa mwezi.

Fedha hizo zitakiwezesha Chadema kuendesha shughuli za kiofisi na kujenga ofisi mpya katika majimbo mbalimbali.

Nimemsikiliza kwa makini sana maana anatema madini tupu.

Mimi ni mpenzi wa The Big Agenda ila kwa ijumaa sijakitazama kwakuwa alikuwa polepole hakuna cha maana angekisema zaidi ya tantalila na mipasho mtu mwenye ndimi mbili(popo) haaminiki.
 
Hao mil 8 ni wale wasioogopa kutekwa wala kulogwa na vile vizee vyao , wako waliojificha zaidi ya 10mil wanaunga mkono chadema
 
waoneshe mfano kwa kuweka wazi hesabu za makusanyo na matumizi ya chama ikiwezekana kila mwezi...

wanachama 8mil iwe ni halisi na wawe wanapiga kura....kama CDM ina wanachama hai 8mil..CCM itakuwa na wanachama wangapi? maana wanufaika wa CCM ni wengi kuliko tunavyofikiri kuanzia huko mashinani mpaka mikoani kwa viongozi na familia zao...kumbuka CCM imefika kila mahala kuanzia kigonsela, nanyamba mpaka kibirizi na mwandiga kwa ZZK...
Povu kama lote, unateseka kusikia Chadema inaishi bila kutegemea ruzuku.
na bado MaCCM mtatembea uchi mkisikia tumegonga milion 10:
 
Nimemsikiliza kwa makini sana maana anatema madini tupu.

Mimi ni mpenzi wa The Big Agenda ila kwa ijumaa sijakitazama kwakuwa alikuwa polepole hakuna cha maana angekisema zaidi ya tantalila na mipasho mtu mwenye ndimi mbili(popo) haaminiki.
Alibaki kuwatukana wahuni wenzake tu.
 
waoneshe mfano kwa kuweka wazi hesabu za makusanyo na matumizi ya chama ikiwezekana kila mwezi...

wanachama 8mil iwe ni halisi na wawe wanapiga kura....kama CDM ina wanachama hai 8mil..CCM itakuwa na wanachama wangapi? maana wanufaika wa CCM ni wengi kuliko tunavyofikiri kuanzia huko mashinani mpaka mikoani kwa viongozi na familia zao...kumbuka CCM imefika kila mahala kuanzia kigonsela, nanyamba mpaka kibirizi na mwandiga kwa ZZK...
Nchi ina Watanzania more than 60M
 
Back
Top Bottom