Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Wacha wakamatwe.tuishi kwa amaniWaende taratibu hivyo hivyo uzuri wao wenyewe hujiingiza 18 za polisi
Polisi hata hawahitaji kuwatungia mashtaka
Hao waliobaki pia watajiingiza wenyewe kwenye 18 za polisi