Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,798
Sasa mbona leo upo tu kwenye computer!! Mvuta bangi mwenzenu ananyea debe huko!! Ha ha ha ha!Unashangaa nini?
Sasa mbona leo upo tu kwenye computer!! Mvuta bangi mwenzenu ananyea debe huko!! Ha ha ha ha!Unashangaa nini?
Unajuaje kama nipo kwenye computer?Sasa mbona leo upo tu kwenye computer!! Mvuta bangi mwenzenu ananyea debe huko!! Ha ha ha ha!
Si unaandika,!!Unajuaje kama nipo kwenye computer?
Kunyea Debe mbona ni kawaidaSasa mbona leo upo tu kwenye computer!! Mvuta bangi mwenzenu ananyea debe huko!! Ha ha ha ha!
Subutu watazuiya kupita mitandao michadema mioga sijawai ona ndio mana !!!Halafu wanasema eti watazuia uchaguzi
Tema mate chini JOHNMagufuli mbaya sana
Nimekuja central police kumuangalia Makamu mwenyekiti wetu niko nje kwenye gari.Si unaandika,!!
Safi kabisaTaarifa rasmi kutoka CHADEMA imesema kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, katika eneo la Kariakoo na kumpeleka kituo cha Polisi Msimbazi.
Hata hivyo, baadaye aliondolewa kituoni hapo na kupelekwa kusikojulikana.
Viongozi kadhaa waliokwenda kituo cha Polisi Kati kufuatilia suala hilo wameelezwa kuwa Heche hajawahi kufikishwa hapo.
View attachment 3312400
View attachment 3312401
Msipende kumfananisha Mandela na hao mashoga zako!!Kunyea Debe mbona ni kawaida
View attachment 3312561
Kwanza hamtaruhusiwa kufanya maandamano siku ya uchaguzi!Siku ya Uchaguzi tutaandamana maanadamano ya AMANI dhidi ya Utawala wa Kidikteta wa Samia Suluhu.
Wewe ufike Central!! Si utarudishwa kwenu Rwanda!Nimekuja central police kumuangalia Makamu mwenyekiti wetu niko nje kwenye gari.
Maaaaamaaaa!!! Ha ha ha ha , kumbe umekaa kwenye gari!! Mbona siioni gari hapa, mi nipo hapa nyuma kabisa!! Wafuasi wa Lissu akili zenu kama za ng'ombe tu!!Nimekuja central police kumuangalia Makamu mwenyekiti wetu niko nje kwenye gari.
Wala hunisumbui wewe unaonekana kabisa unaroho mbaya sijui asili yako wapi huwezi kuwa na chuki hivi kwa Watanzania wanaodai HAKI zao.Msipende kumfananisha Mandela na hao mashoga zako!!
wasukuma wamekukosea nini tena?SUKUMA Gang ni kichaka cha kujifichia wapumbavu wote ambao walikataa elimu ya vitendo ya namna ambavyo raia namba moja anatakiwa abehave mbele ya wananchi wake na kuwajibika kwao katika kutekeleza majukumu yake.
Mimi mbona ni mtanzania na sidai chochote katika hayo maujinga yenu!! Mama mitano tenaaa!!Wala hunisumbui wewe unaonekana kabisa unaroho mbaya sijui asili yako wapi huwezi kuwa na chuki hivi kwa Watanzania wanaodai HAKI zao.
Asili yako wapi Burundi Rwanda DRC Malawi?
Kwahiyo unafurahia Mama Samia kuitwa Dikteta Samia?Maaaaamaaaa!!! Ha ha ha ha , kumbe umekaa kwenye gari!! Mbona siioni gari hapa, mi nipo hapa nyuma kabisa!! Wafuasi wa Lissu akili zenu kama za ng'ombe tu!!
Apana wanasombwa tu agano jipya Mnyika mwenyewe njaaa ishamchosha Offisin aya yanayotokea anachekea chooni kimya kimya !!!!!!!!!!@Bado mnyika. Labda akajifiche kanisani kwamba anasoma novena.
Kweli kabisaHaiwezekani akamatwe bila sababu, lazima kuna jambo, aidha kuna uchochezi aliokuwa akipandikiza hapo kariakoo kwani haiwezekani raia mwema kukamatwa bila sababu!
KweliAnasababisha foleni na misongamano kuleta usumbufu kwa wenye magari, wafanyabiashara na wateja
CHADEMA tumieni akili pia sio tu kuwa manyumbu tu
Hebu angalia hii Video fupi 👇 halafu uone jee ni sawa?Mimi mbona ni mtanzania na sidai chochote katika hayo maujinga yenu!! Mama mitano tenaaa!!
Cheti fake au Cheti halisi mimi cha nini sina ajira sehemu yoyote ila akili yako inawaza kuwa kila mtu ana cheti. Akili hizi kama zako ndizo alikuwa nazo Jiwe. Wanyonge mko wengi sana.Cheti feki, kenge wewe!