PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ccm sijui hofu yao ni kitu gani ukiwaangalia Watanzania wala hawana haja ya mabadiliko ya chochote sio watu wa vitendo wao wakizungumza yanafutika baada ya dakika😁
 
Pole sana Chadema
Mnawapigania Watanzania wapumbavu
Wao wapo kimya, nyie mkisota mahabusu
Wanahangaikia tonetone au watanzania?
Mtanzania gani aliyewahi waandikia barua kuwa wampiganie?

Njaa zao za tonetone ndizo zinawasukuma.Ndio maana hata wakikamatwa watanzania wanaendelea na shughuli zao kama vile hakuna kilichotokea
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Uvunjaji wa taratibu za nchi siyo jambo jema!, hata CCM wakitaka kufanya Mkutano hufuata taratibu za kuomba kubali, huyu ameyatafuta kwa nguvu zote.
Una akili kweli. ? Ccm wanatii sheria ipi ndani ya hii nchi.? Unaishi Tanzania kweli..? Watumishinwangapi wanajiingiza kwemye siasa upande wa ccm na hawaja wahi kufanywa kitu..? Refer hapo kidgo. Yule aliesema wanaonponda raisi samja tukiwaloteza msiwatafute alichukuliwaga hatua na nani..? Alie sema chadema ina sambaza virusi vya magonjwa amefanywa nini..?
Ujinga ukizidi inakua upumbavu. Ni heri ukakaa kimya kuliko kutetea udhalimu.
Mtu yeyote mdhalimu always mwisho wake sio mzuri n mbaya saana tena saana. So acha ungeserema. Wakipita fisiem hata mtaan shughuli zote zinafungwa tena bila kujali ratiba za kikazi za watz.
 
Back
Top Bottom