PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Let the earth drink deep the blood of Jezebel! Her reign of wickedness is over, her tyranny shattered, her name a curse upon the lips of all who remember her cruelty. Her fall is a testament to the inescapable justice that awaits the wicked.
 
kwa akili zako angepwa hivyo vibali...? Na kama alienda wakamkatalia au wamemnyima. Tumia fikra mkuu
Uvunjaji wa taratibu za nchi siyo jambo jema!, hata CCM wakitaka kufanya Mkutano hufuata taratibu za kuomba kubali, huyu ameyatafuta kwa nguvu zote.
 
Kosa kubwa wamefanya hao.kuzuia free movement of trade,people and vehicles in a busy business district
 
Usumbufu tu kusababisha foleni na misongamano ya watu na magari

Ujinga mtupu CHADEMA acheni kuleta usumbufu kwa watu Kariokoo ona hata huyo mbeba mizigo anavyopata shida kupita
Tatizo hawana watu ndo mana wanalazimishia kuwafata mpaka kwenye biashara zao. Ukitaka kuamini hawana watu ona mtu anakamatwa wanaangalia tu na wengine wako busy na issues zao
 
Wanachochea kuni kiongozi anakamatwa wafuasi wanatazaama kama sinema? Hivi hiyo No reform No Election itatekelezeka vipi?
Yaogope sana maji yaliyotulia. Kama wananchi wa kawaida wote hawapendi uonevu basi jua hata watu anaongozana nao hawapendi ila hawawezi kumwambia maana anapenda kuambia anachotaka kusikia
 
natamani kuwe na sheria ,kila askari anatakiwa asome miaka mitano elimu ya juu ili nao waanze kujitambua wanachofanya
Hakuna Askari polisi mwenye nyota asiye na digrii kwa taarifa yako na ndio huwa viongozi wa askari popote
 
Back
Top Bottom