Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 857
- 926
Waonaje ukihamia DRC kwa wanaume wenzio utuache na TZ yetu ya like?!Tz ni nchi ya kike
Waonaje ukihamia DRC kwa wanaume wenzio utuache na TZ yetu ya like?!Tz ni nchi ya kike
Hizo chache mchwa ,chawa na wezi wamepoteanaTutakunukisha kwa njia za AMANI zikiwemo Spana.
We hujui!!?Amekamatwa kwa kufanya kosa gani ?
Una mawazo ya kipumbavu sana! Watanzania wote wa wapi wakati CCM na vyama vingine 17, G55 na akina sisi tusiokuwa na chama tunaona reforms mnazozitaka ni ujinga fulani tu hivi?! Msimamo wa kikundi fulani cha wahuni wachache ndio unaita watanzania wote?!Ila mwishwo wake yataskua majadiliano hili suala la "no reform no election" limepokelewa almost na watanzania wote wakiwemo baadhi ya ccm haliepukiki
Eti mzuie uchaguzi nyinyi nyumbu. Leo Heche amekamatwa hata bomu moja la machozi halijapigwa! Yaani Dar wamediss sana!! Lema sasa anawatukana washabiki wa Simba na Yanga baada ya kuwatukana bodaboda huko Arusha.Tutakunukisha kwa njia za AMANI zikiwemo Spana.
Kwa ndio mumtukane kama mmemzaa nyie???!!Si mlisema anaupiga mwingi kmmmke kiko wapi? 😁
Kaenda KariakooAmekamatwa kwa kufanya kosa gani ?
Lema ana laana ya ujambazi wa kuua watu na kuiba magari yao Arusha. Lema ndiye kiongozi wa wezi wa magari na anafanya kila njia aruhusiwe kurudi ukimbizini kwani wanaomsaka ni wengi kwa ujambazi wake.Eti mzuie uchaguzi nyinyi nyumbu. Leo Heche amekamatwa hata bomu moja la machozi halijapigwa! Yaani Dar wamediss sana!! Lema sasa anawatukana washabiki wa Simba na Yanga baada ya kuwatukana bodaboda huko Arusha.
Hakuna habari ya maagizo kutoka juu!Ni maagizo kutoka Juu
Tena hata hivyo wamechelewa sana kulikamata jinga hilo!!Hakuna habari ya maagizo kutoka juu!
Kazi ya polisi ni kukamata kila anayeonekana kuwa hatari kwa usalama wa raia na mali zao au usalama wa nchi kwa ujumla.
Wanaoona mtu anafanya uhalifu au anahamasisha watu wafanye uhalifu watamkamata tu wala hawangoji maagizo kutoka juu!.
Huyu mama ni laana kwa nchi!Huu Moto unaopaliliwa hautamuacha Samia salama
Sijajuwa Samia ana mpango gani na Tanzania au ni agent wa warabu sisi tupo tu tunashangaa shangaa ndio anatuuza na kuiua Tanzania?
Hapana..punguza kidogo, siasa ndivyo zilivyo.Tena hata hivyo wamechelewa sana kulikamata jinga hilo!!
Siku ya Uchaguzi tutaandamana maanadamano ya AMANI dhidi ya Utawala wa Kidikteta wa Samia Suluhu.Eti mzuie uchaguzi nyinyi nyumbu. Leo Heche amekamatwa hata bomu moja la machozi halijapigwa! Yaani Dar wamediss sana!! Lema sasa anawatukana washabiki wa Simba na Yanga baada ya kuwatukana bodaboda huko Arusha.
Na bado.Hizo chache mchwa ,chawa na wezi wamepoteana
Afu kesho kutwa waandamane!!Kwahiyo raia wamekubali akamatwe kama kuku?
Na lile liaison lake kama chapati namuonea hurumaBado mnyika. Labda akajifiche kanisani kwamba anasoma novena.
Wapi huko?Siku ya Uchaguzi tutaandamana maanadamano ya AMANI dhidi ya Utawala wa Kidikteta wa Samia Suluhu.
Thubutuuu!!Siku ya Uchaguzi tutaandamana maanadamano ya AMANI dhidi ya Utawala wa Kidikteta wa Samia Suluhu.
Unashangaa nini?Thubutuuu!!