PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wewe ni shoga? Maana kila comment yako lazima useme mambo ya kishoga shoga. Kama ungekuwa na pesa usingejiita mnyonge. Jiwe alijuwa kuwatumia vizuri watu kama nyie. Mnabinuka mwenzenu anapiga pesa.
Huna cha maana ulichoandika hapo. Ni unyumbu tu unakusumbua shithole.
 
Taarifa rasmi kutoka CHADEMA imesema kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, katika eneo la Kariakoo na kumpeleka kituo cha Polisi Msimbazi.

Hata hivyo, baadaye aliondolewa kituoni hapo na kupelekwa kusikojulikana.

Viongozi kadhaa waliokwenda kituo cha Polisi Kati kufuatilia suala hilo wameelezwa kuwa Heche hajawahi kufikishwa hapo.



View attachment 3312400


View attachment 3312401


Heche sio Muoga.
That's Patriotism
 
Huna cha maana ulichoandika hapo. Ni unyumbu tu unakusumbua shithole.
Sawa, najua umekosa hoja unabaki kuandika kwa kutia huruma. Ndiyo maana mlikuwa mnaitwa wanyonge na mpaka aliyekuwa anawaita hivyo huku yeye anapiga pesa kaondoka na kawaacha bado mko wanyonge. Amka fanya kazi upate pesa acha kulia lia na kujiita mnyonge
 
Back
Top Bottom