PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Daaah hii taarifa nimechelewa kuipata.

Kwenye mija ya hizo clips kuna mtu mmoja ambaye amesikika akisema naye ni polisi akitaja na namba zake za upolisi.

Mtu huyo inaonesha alikuwa anaunga mkono kinachofanywa na Makamu Mwenyeki kuwa ni haki na hivyo kujaribu kuwaelewesha mapolisi wenzake waache matumizi mabaya ya vyeo.

Lakini ni kama walimpuuza.

Heche aliwahi kuandika kwenye X kuwa zipo taarifa kutoka kwa vyanzo vya kuaminika kuwa kuna mpango wa kumkamata ili kuzuia hii agenda yao.
 
Amekamatwa kinyonge sana, na ndio tukawaambia hawa ni wasanii tu,

Kama kweli ni wanaharakati mbona leo wamegwaya?

Wa kuitoa ccm bado hayupo
 
Tuachieni fujo, inchi imetulia hii, huo udini wenu pelekeni hukooooo kwenye taasisi zenu

Ila inchi msiiguse, kila mkileta chuki zenu na sisi ndio tunazidi kumuunga mkono, ni mpaka 203000 hukooo, hapo tena hata mkimpinga mgalatia mwenzenu tutawaunga mkono
 
Kariakoo barabara ipi isiyo na foleni nitajie moja nimezaliwa na kukulia kariakoo
Familia yangu iko kariakoo

Nitajie barabara ipi?.mshamba toka Mara kwa Heche wewe
Kachunge ng'ombe kwenu huko
chupi ya mange kimambi wewe kwan nani haijui kariakoo, viongozi wangapi wanakujaga kuadress uma na mambo huwa yanaenda yan unadhani kwakua nimeongea uonezi kuhusu heche basi mimi ni wa Mara ? Very stupid we jamaa...yan familia iko kariakoo unajisifu ? una changamoto gani unaweka familia na bidhaa ZA kila aina mkuu ? Mkuu kwanini unaishi sokoni ? 😂😂😂...unalinda maduka na other premises sababu matajiri wa kariakoo Hawakai kariakoo kenge wewe? Comeon man get a life....
Kariakoo barabara ipi isiyo na foleni nitajie moja nimezaliwa na kukulia kariakoo
Familia yangu iko kariakoo

Nitajie barabara ipi?.mshamba toka Mara kwa Heche wewe
Kachunge ng'ombe kwenu huko
 
Tanzania mpya inakuja. Katika kupata kitu kizuri huwa kuna gharama hulipwa, kina Lissu na Heche wameamua wakae mstari wa mbele kuzilipa hizo gharama. Tuwasapoti.solidarity "strong together"
 
Uchaguzi wa CHADEMA kumpata kiongozi wao ambaye ndio LISU !!!

Wapiga kura ni 1000 tu kutoka asubui ya date 22 tumekuja kupata majibu ya Uchaguzi Date 23 asubui yaa saa 3 masaa 24 pima uzani kura 1000 tu !!
na wote wapo ndani umo umo lkn msaa 24 !!!!!

kichekesho awa awa ndio wanalalamika kuusu tume ya uchaguzi !!!

chakushangaza tena kwa mwenye akili uyu Lisu na Jonn Heche sisi Watanzania tusingewajua kama tuwajuavyo leo kama si iyo iyo tume ya uchaguzi kuwatangaza Wabunge kwenye Majimbo yao ya Uchaguzi !!!!

leo wanadai tume aina Haki tatizo kuu Wapinzani Wachovu sana kwasasa wanatafuta uruma za Watanzania kwanjia za Kuvunja Sharia wakamatwe japo watu wawaone ni Wapambanaji !!!

kweli Watanzania walichukizwa na ile tabia ya Wabunge kuamia CCM yani tulinde kura adi usiku wa manane siku 4 kisha uje ununuliwe na kuamia CCM !!!!

tumeona mwitikio wake ktk Uchaguzi ambao kausimamia Mwenyeki wa Chama akiwa Dk Samia S H

ni Uchaguzi wa Serikali za mitaa pima maji kuuu kabla ata Uchaguzi aujafanyika tayali CCM ilishinda kwa 65% zikabaki 35% ndio zinagombewa na Upinzani pamoja na CCM yenyewe !!!!

kilichotokea CCM ikajishindia 33% + 65 = 98 Wapinzani wakaambulia 2% kumbuka Wapinzani wote nchi nzima!!!!

Leo utegemee kuingia kwenye uchaguzi na uishinde CCM kwa vigezo vip !!!!

apo ndio mana tunasema LISU na wenzie ni Wahuni tu nasasa wapo kwenye mchezo wa kisiasa kuvuta uruma ya Watanzania kwanjia za kihuni !!!!

CCM inamipango mikubwa na wanajipanga kwa wkt ndio mana unaesoma ujumbe huu tutakubaliana CCM inavikao karibu nchi nzima mala kwa mala ukipita uku kule utawaona na sale zao wanapiga mipango ya ushindi wanatafuta wanachama wapya kila kona university popote wao wapo!!!!

. Ukija kwengine upinzani Wachovu unasikia CCM wanaiba kura wanategemea tume ya Uchaguzi ni Upumbavu kufanya watanzania awaoni alakati za CCM ngazi za chini !!!!

ingekuwa ndio ivyo basi CCM tusingewaona mitaan wakifanya alakati zao wao wangetegemea tu police na tume ya uchaguzi !!!!

chengine nilichogundua CCM kupitia viongozi wake wakubwa wanaongea vitu kimkakati mkubwa mfano unasikia sisi upige kura usipige lkn sisi tutashinda tu !!!!

iyo ni propaganda ya kisiasa kututoa ww kwenye kuangaika kutafuta kura badala yake unalalamika na kilio juu unadai CCM inaiba kura inategemea police sijui tume ya uchaguzi !!!!

yani iyo kauli ipo kimkakati mkubwa uwe na akili ndio utaelewa wenye Busara Wazee kila wakitoa ushauri kwa Wapinzani wenyewe wanajiona wanajua kilakitu wakati weupe kichwani CCM itabaki number 1 milele
 
Ooh yeye na Magu ni tofauti, yeye anatembea na 4R wakati mtangulizi wake alikuwa dikteta, muonevu, muuaji na katili.

Kiko wapi leo, amekuwa katili na muonevu kuliko hao waliomtangulia.
Tulia ww mtu mdogo
 

View: https://youtu.be/bScOrCOlLFc?si=tgTZA7q5VgE4dGy-
Honestly, CCM na serikali yao wamechanginyikiwa kupita kiasi na movement ya NO REFORMS NO ELECTION ya CHADEMA..

Sasa kwa panic hii ya CCM na serikali yao hata hawajui nini wafanye na badala yake sasa wanalitumia jeshi la Polisi kwa uhovyo uliopotiliza ili kuwafanyia fujo tu CHADEMA Ili wasifanye shughuli zao za kisiasa..

Uthibitisho wa haya ni video hii inayoonesha kabisa kuwa, sasa Polisi wamepewa task maalumu ili kufanyia fujo tu CHADEMA bila kujali PGOs na sheria, taratibu na katiba zitasemaje..

This too bad for CCM
 
Halafu eti baada ya kuwakamata, wakaishia tu kuwazungusha kwenye magari yao na kuwatelekeza barabarani! Policcm bure kabisa. 😁
 
Halafu eti baada ya kuwakamata, wakaishia tu kuwazungusha kwenye magari yao na kuwatelekeza barabarani! Policcm bure kabisa. 😁
Polisi nia yao ilikuwa kuwaprovoke Chadema ili itokee vurumai watumie risasi za moto kumlenga Heche halafu wadai ilikuwa bahati mbaya agizo wanalotembea nalo ni kuua, kuwatelekeza njia ni dhahiri kuwa hawakutenda kosa lolote vinginevyo wangewafikisha kituoni na kuwafungulia jalada. Hangaya bado ana kiu ya damu za wanachadema.
 
Back
Top Bottom