PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hii ndio Taarifa ya Sasa kutoka Kariakoo, Dar es Salaam

View attachment 3312332

Hakuwa na koso lolote, lakini Inaelezwa kwamba Maagizo kutoka Juu yameelekezwa akamatwe na apewe Kesi ya Ugaidi.

Akisindikizwa na Mitutu kuelekea Kituo cha Polisi Msimbazi

View attachment 3312352View attachment 3312359
Nikiwaambieni waislamu awafai mnabisha sindiyo hao hao waislamu walio wadanganya chadema kuwa magufuli dictator na nchi ikiwa chini ya mkristo mambo yanakuwa magumu 😁😁 magufuli alifanya udicteta wa kizalendo ....samia na baadhi ya vibaraka wake wanafanya udicteta dhidi ya uzalendo
 
Hii ndio Taarifa ya Sasa kutoka Kariakoo, Dar es Salaam

View attachment 3312332

Hakuwa na koso lolote, lakini Inaelezwa kwamba Maagizo kutoka Juu yameelekezwa akamatwe na apewe Kesi ya Ugaidi.

Akisindikizwa na Mitutu kuelekea Kituo cha Polisi Msimbazi

View attachment 3312352View attachment 3312359
Hii ni baadhi ya hujuma za wazi ili kuwanufaisha mamluki waliopenyezwa ndani ya chama na chama hasimu na Watwawala dhuluma ndani ya taifa letu.Haya ni mambo ya kuyakataa kwani utaifa na taifa linazikwa huku likipumia na kutazama kama linazikwa angali lii hai.
 
Hii ndio Taarifa ya Sasa kutoka Kariakoo, Dar es Salaam

View attachment 3312332

Hakuwa na koso lolote, lakini Inaelezwa kwamba Maagizo kutoka Juu yameelekezwa akamatwe na apewe Kesi ya Ugaidi.

Akisindikizwa na Mitutu kuelekea Kituo cha Polisi Msimbazi

View attachment 3312400

View attachment 3312401

NILIPO WAAMBIA WATU HAPA JF KUWA KAMA SAMIA ATAGOMBEA 2025 DAMU ITAMWAGIKA YA KUTOSHA WALINIPINGA ...WAKATI ULE HADI CHADEMA WALIKUWA WANAMUIMBIA SAMIA KUWA ANAUPIGA MWINGI ...😁😁😁😁 lazima kuna kitu kitatokea mwisho wa samia na genge lake utakuwa mbaya tu.😁
 
Heche ndio kajizima kariakoo huwezi simamisha gari madereva wa gari nyuma yako watakuja juu waweza choma moto gari kuwachelewesha waendako

Polisi walikuwa sahihi

Dar unasimamisheje gari katikati ya barabara busy eti unahutubia

Pale alikuwa anawinda pesa za tonetone limebuma
MJINGA SANA KATAKA AKAMATWE MAKUSUDI MJINGA SANA, SIASA ZA CHADEMA NI ZA OVYO SANA, "" UNASIMAMISHA GARI GHAFLA UNAANZA KUHUTUBIA "" HOW SHITS IS THIS! - - -
 
Kati ya vyama vya siasa 18, ni kimoja tu kinapata shida hizi na polisi, vyama vilivyobaki ukiacha CCM vingekuwa na hoja kama Chadema sijui polisi wangekamata wangapi? Huu uonevu una mwisho.
 
Wanachama wa chadema ni majasiri sana mtandaoni ila kwa ground viongozi wanakamatwa kama kuku tena mbele yao na wanatulia kama wamemwagiwa maji
Keyboard warriors ndio zao hizo.Kelele na ngebe nyingi mitandaoni ukweli ukija vinakimbia na mavi matakoni.Husikii kelele wala ngebe.Anayeleta vurugu tupa ndani hawa wavimba macho hawaelewi ustaarabu. Wamezoea viboko.
 
Hii ni dharau kubwa sana kwa watanganyika kumkamata kiongozi mbele ya wananchi wanao msikiliza
mropokaji na mvurugaji wa biashara sokoni lazima awajibishwe bila kucheleweshwa hata sekunde moja,
kiongozi gani anakuja na vibaka na wezi sokoni? ili amuibie nani? :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom