PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ooh yeye na Magu ni tofauti, yeye anatembea na 4R wakati mtangulizi wake alikuwa dikteta, muonevu, muuaji na katili.

Kiko wapi leo, amekuwa katili na muonevu kuliko hao waliomtanguma

Taarifa rasmi kutoka CHADEMA imesema kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, katika eneo la Kariakoo na kumpeleka kituo cha Polisi Msimbazi.

Hata hivyo, baadaye aliondolewa kituoni hapo na kupelekwa kusikojulikana.

Viongozi kadhaa waliokwenda kituo cha Polisi Kati kufuatilia suala hilo wameelezwa kuwa Heche hajawahi kufikishwa hapo.

View attachment 3312400

View attachment 3312401

Hivi reform haipo kwenye zile 4Rs
 
Huu Moto unaopaliliwa hautamuacha Samia salama

Sijajuwa Samia ana mpango gani na Tanzania au ni agent wa warabu sisi tupo tu tunashangaa shangaa ndio anatuuza na kuiua Tanzania?
Zanzibar yake IPO wewe utaenda wapi
 
Taarifa rasmi kutoka CHADEMA imesema kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, katika eneo la Kariakoo na kumpeleka kituo cha Polisi Msimbazi.

Hata hivyo, baadaye aliondolewa kituoni hapo na kupelekwa kusikojulikana.

Viongozi kadhaa waliokwenda kituo cha Polisi Kati kufuatilia suala hilo wameelezwa kuwa Heche hajawahi kufikishwa hapo.

View attachment 3312400

View attachment 3312401

Haya majitu yaliyofeli form four ninapo yachukia kutoka moyoni, muwe mnanielewa ndugu zangu.
 
Kkoo una biashara gani?
Kwani wewe mwenzetu unahisi maisha yako yote yatakua ya kutegemea polisi wakusaidie kuchakachua kura au??
relax my lady,
ni vizuri kufahamu kwamba,
mambo haya yanafanyika kizalendo kwa maslahi mapana ya Taifa na waTanzania wote.

haiwezekani mropokaji akusanye vibaka na wezi sehemu za masoko na biashara ili kuwapora wateja na wafanyibiasha,

hatuwezi kuruhusu hii nonsense hata sekunde moja kusumbua wateja na wafanyibiasha 🐒
 
Taarifa rasmi kutoka CHADEMA imesema kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, katika eneo la Kariakoo na kumpeleka kituo cha Polisi Msimbazi.

Hata hivyo, baadaye aliondolewa kituoni hapo na kupelekwa kusikojulikana.

Viongozi kadhaa waliokwenda kituo cha Polisi Kati kufuatilia suala hilo wameelezwa kuwa Heche hajawahi kufikishwa hapo.

View attachment 3312400

View attachment 3312401

John Heche is doing stupid politics.
 
Kariakoo ni Central business district watu pale wako busy na biashsra wana kufanya hawategemei tone tone kuishi.

Wahubiri hawasababishi foleni,wala misongamano wa watu na magari wa biashara,wafanyabiashara na wateja

Hapo aliposimama kasababisha usumbufu kwa wafanyabiashara na wateja na wenye magari
Mbona CCM wanafanya mikutano yao maeneo hayo hayo?
 
Hizo ni kwa wastaarabu. Washenzi wamezoea mijeledi tu.
Mtu anayepigania uchaguzi huru na haki Kwa maslahi mapana ya taifa na mwizi wa kura anayepindisha maamuzi ya wananchi Kwa maslahi ya wachache yupi ni mshenzi?
 
Nakumbuka kipindi cha dhalimu Magu kulikuwa na uchaguzi wa marudio. Mtangazaji wa ITV aitwaye Sam Mahela alionyesha jamaa wakiingiza mabox ya kura, vituoni, polisi walikuwepo na msimamizi wa uchaguzi anaangalia! Baadae mtangazaji akaenda kumuuliza msimamizi wa kituo inakuwaje mabox ya kura yanaingizwa yakiwa na kura, msimamizi kwa aibu na hofu akamwambia yeye ana kazi nyingi hapo kituoni, sio kuangalia mabox ya kuta tu! Mtangazaji akamfuata polisi kumuuliza inakuwaje. Polisi akamwambia hiyo ni kazi ya msimamiz wa kituo hilo halimuhusu! Ndani ya dakika 30 matangazo mubashara yakakatwa, na likatoka agizo kuwa hakuna ruhusa kurusha matangazo live. Baadae usiku huo nikasikia ITV wanaomba msamaha kwa kurusha habari ambayo ingeweza kuleta machafuko nchini. Hiyo Dar ya ccm😂😂😂 Na toka siku hiyo ikawa kurusha uchaguzi mubashara ni maeneo tu ccm wanafaidika.
Hivi huyu mtangazaji walimwacha salama kweli??
 
Mimi naona kama wamechelewa kumtia kibindoni, wangefanya hata juzi.
watu jeuri, waropokaji wenye viburi kama huyo kibaka na tapeli ni wa kuneutralize taya au kiuono akajiuguze nyumbani ili hatimae wafanyibiasha na wateja waendelee kufanya shopping zao kwa amani.

Yaani stress za kufilisika pension yake ya ubunge kwenye kubeti ndio isababishie wengine usumbufu,
Hiyo haiwezekani 🐒
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kumeanza kuoga na hamsemi? Hiii keki ya tiafa jmn tuleni au tuache tuliwe? Sawa me nipo mtandaoni
 
Mashoga pia walikuwa hawampendi Magu kama wa vyeti feki mkuu. Mimi namshukuru Mungu pesa za kutumia ninazo zinanitosha.
Wewe ni shoga? Maana kila comment yako lazima useme mambo ya kishoga shoga. Kama ungekuwa na pesa usingejiita mnyonge. Jiwe alijuwa kuwatumia vizuri watu kama nyie. Mnabinuka mwenzenu anapiga pesa.
 
Back
Top Bottom