Ndallo
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 7,621
- 4,311
Wakuu naomba tusipuuze hizi taarifa alizoleta bwana Makoye2009 hata mimi hapo jana nikiwa nimekaa karibu na watu ambao si watu wa kuwabeza ni watu wazima na wabusara tena wako katika sekta za serikalini nilikua nawasikia wakiwa wanabadilishana mawazo kuusiana na hili sakata la waziri Pinda kua JK amekanusha hizi taarifa za posho kwa wabunge, lakini kuna kitu nikakisikia kutoka kwa hawa mabwana kua kutaweza kutokea maamuzi ya ghafla na yasiyotarajiwa kutoka kwa waziri Pinda au kutoka kwa mkuu wa nchi! Jamani lisemwalo lipo! Na kama halipo basi laja! Mungu ibariki Tanzania.