Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,502
- 1,959
Amuoaye mama yako ni baba yako. JK afanye maamuzi magumu na asiogope. mimi niko nyuma yake. Pinda hafai kuwa PM kwa kuwa hajiamini.
hawa jk atawadanganya kuwa atasaign posho kisha wataupitisha na itakuwa imekula kwao vilaza hawa
Hizi tetesi hizi...!Kuna tetesi kuwa huenda yale yaliyotokea mwaka 2008 yakajirudia tena. Safari hii mtoto wa Mkulima Mizengo Kayanza Peter Pinda Waziri Mkuu anaachia ngazi ya Uwaziri Mkuu baada ya tuhuma nzito tatu(3)zinazomkabili katika ofisi hiyo nyeti.Kwa mwenye habari za undani zaidi kuhusu hizi tetesi naomba aendelee kutupasha zaidi.
- Mizengo Pinda anatuhumiwa kuwa kwa kushirikiana na spika wa Bunge Anne Makinda AMELIDANGANYA BUNGE KUHUSU POSHO ZA VIKAO ZA WABUNGE KUWA RAIS KIWETE ALIKUWA AMERIDHIA NYONGEZA HIYO YA POSHO KUTOKA SHS.70,000/= MPAKA SHS.200,000/=kitu ambacho siyo kweli.
- Mizengo Pinda akishirikiana na Waziri wa Afya na NAIBU wake anatuhumiwa kushindwa kusimamia ipasavyo ili kuepusha au kuzuia MGOMO WA MADAKTARI MUHIMBILI MGOMO AMBAO HATIMAYE ULIPELEKEA MGOMO WA MADAKTARI NCHI NZIMA.
- Mizengo Pinda kama Mkuu wa shughuli za Serikali Bungeni ameonyesha UDHAIFU mkubwa kwa kushindwa kuwasimamia Wabunge wa CCM ambao wametishia kupiga KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NA RAIS WAO Kiwete na pia kutishia KUPINGA MSWADA WA KATIBA MPYA YA JMT.
Nawasilisha
Mm sijaelewa mantiki ya kchwa cha habari na habari yenyewe.
hawa jk atawadanganya kuwa atasaign posho kisha wataupitisha na itakuwa imekula kwao vilaza hawa
wewe hizo habari ulizoleta si za ndani?........