JK na wabunge wa CCM Dodoma kimenuka

JK na wabunge wa CCM Dodoma kimenuka

Nimebaki nashangaa kulikoni Mh. Rais JK amekaa kimya katika swala la mgomo wa madaktari na vurugu nyenginezo zinazojitokeza utadhani hayamuhusu ama yeye amekuwa kiranja tu amewaachia watendaji wake wakati hali imekuwa si hali.

Hivi Raisi anasubiri nini asiingilie kati ama hadi watu watoke barabarani kwa maandamano? Raia hawajui zaidi ya Raisi likiharibika yeye ndiye atakaye haribikiwa na kuiharibu CCM hadhi yake.
 
Hata akisema neno ukweli uko palepale..HAKUNA HELA HAZINA!
Kiutu uzima najua machozi yanaelekea tumboni, lakini ndo hivyo hana la kufanya!
 
kwanza tuambie umejuaje kwamba bunge litavunjwa ijumaa. au ndio unafanya research indirectly?.
 
Wapige hiyo kura ya kutokuwa na imani na Kikwete fasta

watukabidhi inji yetu
 
Tuongee KIKATIBA zaidi. Mengi tunayoandika humu hayawezekani kikatiba. Kama hatuifahamu katiba ya sasa, hiyo mpya sijui tutajadili nini!

Hatuhitaji kuijua hiyo ya 'zamani' ili tuandike mpya. Tunataka kuwa na katiba inayoakisi matakwa na matamanio ya watanzania wote. Si muhimu sana kuifahamu ya zamani kwani ilitokana na watawala na si wananchi.
 
Avunje Bunge hana huo Moyo,hayo ni mamamuzi magumu ambayo alishashindwa kuyafanya!
 
Yaani JK mwenyewe alishishinda kwa kuiba kura 2010..yaani hawezi kuthubutu kuvunja bunge hata iweje...
 
Watakaorudi kwenye baraza la mawaziri ni hawa:
Bernad membe,john magufuli,aggrey mwanri,prof tibaijuka,kagasheki,lukuvi,omari nundu,nyalandu.wapya wanaopaswa kuingia ni anne kilango,mwigulu nchemba,zakia meghji(fedha),said mtanda,livingstone lusinde,steven masele
 
Kikwete usiangalie nyuma, hawa wabunge wa ccm wamezoea kudeka. Kama kweli vidume wapige kura ya kutokuwa na imani.

Beatrice Shellukindo alianza kwa kutoa 'message' toka kwa nabii Joshua, akaja Jairo na sasa naona amekuja na hoja ya kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais. Mama haya yote ni mawazo yako au unawakilisha mtu/watu?

Huyo mama huwa hana msimamo na haeleweiki anasimamia nini, siuliona issue ya jairo conclusion yake ilikuwa nini? tukirudi nyuma ni akina nani walimtoa mzee shelukindo na yeye leo hii yupo kwa nani pamoja na malalamiko ya mzee kuchezewa michezo michafu
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Mimi sioni mazingira au nguvu(forces) za kusababisha bunge kuvunjwa.Tuzingatie kuwa hizi tofauti kati ya serikali na bunge ni siasa za kawaida kabisa katika nchi zenye demokrasia iliyokomaa. Pengine jambo ambalo lina uwezekano wa kufanyika ni min-reshuffle ambayo inazingatia mambo mengine mengi na sio siasa za bunge tu.
 
Mimi sioni mazingira au nguvu(forces) za kusababisha bunge kuvunjwa.Tuzingatie kuwa hizi tofauti kati ya serikali na bunge ni siasa za kawaida kabisa katika nchi zenye demokrasia iliyokomaa. Pengine jambo ambalo lina uwezekano wa kufanyika ni min-reshuffle ambayo inazingatia mambo mengine mengi na sio siasa za bunge tu au migomo.
 
kwenye katiba mpya tuweke kupima maraisi kila baada ya miaka miwili hivi kama bado wanakubalika au laa
 
  • https://www.jamiiforums.com/members/bigirita.html

    Today 10:54 BIGIRITA

    #29

    JF Premium Member Array


    Join Date : 15th June 2009

    Location : Under a mango tree
    Posts : 7,932
    Rep Power : 1944



    [h=2]
    icon1.png
    Re: Wabunge CCM wasalimu amri kwa Kikwete[/h]
    quote_icon.png
    By GeniusBrain
    Nina wasiwasi na uhusiano wako na January , yawezekana anakufanyia kitu mbaya, huishi kumsifia humu ndani. Ukiisha ona mwanaume anamsifia mwanaume mwenzake ujue kuna walakini hapo



    Kwahiyo wewe unafanyiwa ile kitu na M.kweree!!!
    Mbona huishi kumsifia hapa.......tena mapovu yanakutoka!!!​


    I'm not being rude. You're just insignificant.
    ​

    Reply Reply With Quote

  • [h=3]
    reply_40b.png
    MWAGOMBEA NINI WOTE NDG 1! NDIO FAIDA YA ZOMEA ZOMEA HIYO BUNGE NA USHABIKI WA KIZEMBE,JK KAWAPEN CHUNGU MEZENI SASA ACHANENI NA UWOGA.NDO FAIDA YA 1.UVIVU WA FIKRA,2.USHABIKI WA KIZEMBE,3.UVIVU WA KUTAFAKARI HOJA KABLA YA KUIJIBU.UPANDACHO NDO UVUNACHO,NA BADO MTAUMBUKA SANA HADI MUACHANE NA UNA USHABIKI MFU.[/h]
 
Back
Top Bottom