JK amteua Jaji Kiongozi mpya

JK amteua Jaji Kiongozi mpya

You guys...this is getting out of hand now. Yaani haipiti siku humu bila hata kuwa ua ligi isiyo na kichwa wala miguu. Is all this really necessary? Sasa nani yuko "fixated" na nani hapa?

Na mnajiona wenyewe eti ni watu wazima...eti mmekua...eti mna hoja...eti mmesoma....Good grief! Watu wenye sifa hizi hawa act kama hivi. Yaani kila siku lazima mtu aambiwe kakosea....kapotosha...mwongo....sijui kafanya hivi...mara kafanya vile....

Ngoja nirude kwa Cupcake wangu....we have a great time together over there....at least we have a life!
 
Of course "umesema" na watu wakubali kwa vile umesema Hakukuwa na facts:

Nilisema nitakusaidia:

FACTS nilizodai:

a. Kichwa cha habarri kinasema JK amteua jaji Kiongozi mpya - that is a fact!
b. Imetajwa kuwa aliyefanya uteuzi huo ni Rais - that is a fact
c. Kwamba aliyeteuliwa ni Jaji Fakihi Jundu - that is a fact (jina nililikosea mimi)
d. Kwamba aliyeteuliwa alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu huko Iringa - that is a fact
e. Kwamba kabla ya kuwa Jaji wa Mahakama Kuu alikuwa Wakili wa kujitegemea - that is a fact
f. Kwamba alikuwa ameteuliwa Jaji wa Mahakama Kuu "kama mwaka mmoja uliopita" - FACT iliyodaiwa now being disputed at the exact time. Imeshasahihishwa na FACT ya uhakika kuwa amekuwa Jaji wa Mahakama Kuu angalau miaka miwili, na kwa kadiri ninavyokumbuka sasa atakuwa ameteuliwa sometimes late 2005.

Sasa Kuhani kati ya FACTS hizo zote hapo ni zipi za kweli? Of course I know y ou are answer... they are all LIES!

Mkuu mwanaKjj...pamoja na kwamba kipengele a-e utakuwa umepatia, lkn kitendo tu cha "kama mwaka mmoja", kinaharibu the whole story...ndio kimefanya watu wajadili as if aliechaguliwa ni mtu Mgeni ktk Taasisi za Mahakama na kuanza kumshoot JK kwa uteuzi huo.
 
kwa hiyo unakubaliana kuwa habari yote haikuwa kweli na ya kuwa hakukuwa na facts? Unaposema "kinaharibu" the whole story kwa sababu kimeandikwa hivyo au tafsiri za watu ndiyo zimeenda huko? Sasa imeshaoneshwa kuwa Jundu amekuwa Jaji Mahakama Kuu kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja na ni karibu ya miaka mitano, je habari bado ina ukweli au ukweli wote wa habari unasimama kwenye "kama mwaka mmoja"?

Mimi niliripoti tu kile nilichojua, sasa kama mtu anaibuka na kuanza kumshambulia Kikwete au Urais hilo ni jambo jingine. Pamoja na hayo sioni kama hoja zao bado ni nyepesi kwani Jundu alikuwa ni junior kwa majaji wengine karibu 20! Ama hoja hizo zingekuwa na nguvu tu kama ingekuwa ni "mwaka mmoja"?
 
kwa hiyo unakubaliana kuwa habari yote haikuwa kweli na ya kuwa hakukuwa na facts? Unaposema "kinaharibu" the whole story kwa sababu kimeandikwa hivyo au tafsiri za watu ndiyo zimeenda huko? Sasa imeshaoneshwa kuwa Jundu amekuwa Jaji Mahakama Kuu kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja na ni karibu ya miaka mitano, je habari bado ina ukweli au ukweli wote wa habari unasimama kwenye "kama mwaka mmoja"?

Mwanakijiji uliongopa, iwe ni neno moja, mawili, nusu sentensi, sentensi au habari yote.

Wewe ni fisadi wa habari, jiuzulu!
 
Kwa wale wanaoona kuwa JK kumpa Jundu U-jaji Kiongozi amewaruka wengine si mahala pake. same Mkapa alimchagua Msumi ambae kwa wakati huo alikuwa no.11, Labda Mkapa atusaidie kwanini aliwaruka J-1-10 na kumpa cheo Jaji Msumi...!!!

Kwa wale wanaona JK anafanya UDINI, ni watu hao kukosa shukran na kuipeleka nchi kusiko. Sifikirii list iliyowekwa hapo ya Majaji kama hao watu wanakuwa sawa kwa DINI zao.Pia Mbona JK kamchagua Tido kuwa Mkurugenzi wa TBC akiwa na elimu ndogo, wakati kuna watu lukuki kma Juma Nkamia, Ahmed Jongo na wengineo ambao wazoefu na wanaelimu kumshinda Mkurugenzi.
 
Chuma hata huko TBC kuna mambo nayo yameiva tu (sema mengi kufuatilia moja baada ya jingine.. ila ndiyo kuna manung'uniko huko nako).

Binafsi sijasema lolote juu ya uteuzi huu kwani nafahamu kwanini amemteua Jundu na kuruka wengine!!!! Mengine siyo ya kuweka hapa bure!!
 
Mkuu mwanaKjj...pamoja na kwamba kipengele a-e utakuwa umepatia...

Chuma,

Hayo unayosema kapatia, ya spelling ya jina la jaji, ya kutokea Iringa, ya kwamba ni Kikwete ndio kateua, hayo sio, na hayajawahi kuwa, the issue hapa! Hivi mpaka umrembe rembe mtu kabla ya kumwambia bluntly kakosea?

Sasa kumbe majaji nani anawateua, kiongozi wa upinzani bungeni? Kusema kuwa Kikwete ndio kateua jaji nayo ni material fact inayoongelewa hapa? Hatuoni kama tunakuwa absolutely puerile?

The issue, the only issue, whose veracity has been called into question and finally debunked has everything to do experience, uzoefu, and nothing else. Nothing. Udini, Ukabila, spelling za jina la Jaji, are all hogwash!

Watu walitumbukizwa kujadili issue ya uzoefu kwa kupotoshwa. Hakuna kuuma uma ulimi kwa hilo. Alipotosha.
 
du jamani si imeeleweka sasa!Endeleeni kukata nyanga kwa maslahi ya taifa!sio kwenda personal
 
Nadhani Jujuman hoja yake ni kuwa si uungwana kumwita mtu 'muongo' kwenye forum hii au popote pengine. Inawezekana wote wawili (MKJJ na Jobo) kile walichokisema sio sahihi kwa ujumla au kwa sehemu tu, lakini sidhani kama hili peke yake linawafanya kuwa 'waongo'. Muongo ni mtu mwenye tabia ya kusema vitu visivyo na ukweli kwa makusudi.

Kama binaadamu ni mara nyingi tunateleza na kujikuta kwa bahati mbaya vile tulivyovisema tukiamini kuwa ni kweli tunakuja kugundua kumbe si vya kweli. Hata hivyo kasoro hii haitufanyi kustahili kuitwa waongo.

Binafsi naamini kumwita mmoja wao muongo kwa kasoro hii iliyojitokeza sio haki na wala si uungwana. JF panapaswa kuwa mahala pa waungwana yaani watu wanaojiheshimu na kuheshimu wengine hata kama mnatofautiana kimtizamo au hoja.

SMU Mkuu,
Ufafanuzi wako ni SADAKTA makusudio yangu ni hayo kujaribu kuepusha lugha na maneno makali, ili tuepushe kuvaana BINAFSI na kuacha hoja inaelea hewani. UONGO si kitu kizuri na kisipewe nafasi katika jamvi hili. Mpaka tufikie kumwita Fulani MUONGO ni lazima tuwe na hakika kuwa ali au amekusudia KUTUDANGANYA .Kuepusha hayo yasitokee ni vizuri tuitafiti habari kabla ya kuitupa Jamvini.HILI SI JAMVI LA WACHEZA BAO AU WANYWA KAHAWA.
 
Last edited:
du jamani si imeeleweka sasa!Endeleeni kukata nyanga kwa maslahi ya taifa!sio kwenda personal

The reporter should do the needful.

Tuendelee kukata nyanga? Nyanga ya msingi hapa ilikuwa uzoefu wa Jaji Jundu, swala ambalo kumbe lilikuwa artificial, halipo, la kutungwa.

Sasa kuna "nyanga" nyingine humu zaidi ya kujadili umuhimu wa kuambiana vitu vyenye uhakika.

The reporter would do the needful.
 
Huwezi kuwa na mjadala wala hoja wala mitazamo kabla ya kwanza kuwa na facts!

Hatukuwa na facts, tulipotoshwa!

Mjadala ulihusu uzoefu wa mteule, hoja nyingi zikishutumu uteuzi wa jaji ambae ana "kama mwaka mmoja."

Ilipofahamika kwamba hilo si kweli ikawa kama umeme umezimika ghafla kwenye tafrija ya kumshutumu Rais kwa kuteua jaji mwenye mwaka mmoja. Mziki ukazima ghafla, bia hazitoki, shutuma hazitoki, ubwabwa hautoki.

Siku nyingine tuwe na facts kwanza.

Pati imekwisha turudini nyumbani!

Safi sana Kuhani, kuna watu mabingwa wa 'consipiracy' humu ndani. Zaidi ya yote they know everything. Kana kwamba haitoshi ni wabishi kupindukia. Kwa kuongezea 'ndivyo walivyo'
 
Safi sana Kuhani, kuna watu mabingwa wa 'consipiracy' humu ndani. Zaidi ya yote they know everything. Kana kwamba haitoshi ni wabishi kupindukia. Kwa kuongezea 'ndivyo walivyo'

Ndivyo Tulivyo including wewe...
 
'Any new experience will have supporters and detractors. But if you want to please everybody, we will never move forward as a society' - Justice Sheik Taysir Tamimi (Judge responsible for the appointments of other Judges in Palestine Territory)
 
Kukusahihisha kidogo Mkuu JokaKuu, Rais aliwateua Jaji Steven James Bwana, Jaji Bernard Michael Luanda, Jaji Mohammed Chande Othman na Jaji Sauda Mjasiri mwezi wa pili 2008 kutoka Mahakama Kuu kuwa majaji wa Mahakama ya Rufaa.

Thank you for this. You seem to be a good 'student'. Keep it up!
 
Back
Top Bottom