Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,103
- 43,350
- Thread starter
- #201
Nimesema uongo.
Nimesema uongo.
Nimesema uongo.
Nimesema uongo.
Nimesema uongo.
Umesema uongo kwamba?
Nimesema uongo kwamba:
Jaji Jundu alikuwa wakili wa kujitegemea kama mwaka mmoja uliopita kabla hajateuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.
well, usirudie tena!
Mwanakijiji na wewe bana...yaani bado upo tu umeng'ang'ania kubishana na hawa jamaa...Lol....njoo kule kwetu na Cupcake....kule pouwa sana....hakuna hateoration...we're spreading the love
Nimesema uongo kwamba:
Jaji Jundu alikuwa wakili wa kujitegemea kama mwaka mmoja uliopita kabla hajateuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.
Nimesema uongo kwamba:
Jaji Jundu alikuwa wakili wa kujitegemea kama mwaka mmoja uliopita kabla hajateuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.
======Pole Mkuu Mzee Mwanakijiji, kwangu mimi nimekusamehe kwa kutudanganya na kutufanya tujadili uongo. Mtu anapokubali kuwa alisema uongo, husamehewa, nimekusamehe.
Nimesema uongo kwamba:
Jaji Jundu alikuwa wakili wa kujitegemea kama mwaka mmoja uliopita kabla hajateuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.
======
Kibarua chako kimepona kwa "kukiri" kwa Mwanakijiji, vinginevyo paycheck yako ya mwezi huu ilikuwa inapeta. Zidumu fikra!
Nakuja huko maana nimewamiss tangu jana..
Amekiri!!! ok, assuming amekiri kuwa Jundu hakuteuliwa mwaka mmoja uliopita, je hii inaondoa ukweli kuwa Jundu hana uzoefu wa kutosha katika Mahakama ya Tanzania? Imetolewa orodha ya Majaji wa Mhakama Kuu, Jundu yuko chini sana....je huu ni uongo? Imetolewa CV yake inaonyesha hadi 2002 alikuwa wakili wa kujitegemea....huu ni uongo? Wapo majaji ambao wamekuwa Mahakama kuu kwa zaidi ya miaka 20...huu ni uongo? Jundu ameteuliwa kuwa Jaji Kiongozi akiwa amebakiza miezi mitano tu astaafu maana kazaliwa Julai....1949 ... huu ni uongo? Jundu ni kati ya Majaji kadhaa walioteuliwa kutoka katika uwakili wa kujitegemea ikiwa na maana kuwa hawakuwa katika utumishi wa mahakama kwa miaka mingi ya huduma yao ya kisheria.....huu ni uongo? kwamba katika hao majaji amabao walikuwa Mawakili wa kujitegemea most, if not all ni wa madhehebu ya Kiislamu. Wengine ni Salum Masatti, Nyangarika, Zainabu Mruke, Sheikh, Mujuluzi, nk. Ni Thomas Mihayo peke yake ambaye ni Mkristo aliyeteuliwa kuwa Jaji kutoka katika uwakili wa kujitegemea, na huyu aliwahi kufanya mahakamani kwa muda mrefu na katika mahakama za kazi na LART. Je ni kweli kusema kuwa Mawakili wa kujitegemea wa kikristo hawana sifa ya kuteuliwa kuwa Majaji? JK alimteua Wakili wa kujitegemea kuwa Balozi wa Tanzania huko Uingereza, Mwislamu asiye na uzoefu katika masuala ya mahusiano ya kimataifa. Wapo pia akina Adadi Rajabu, Hamisi Msumi nk. walioteuliwa kuwa Mabalozi! Huu nao ni uongo?
Hapa anayetakiwa kukiri si Mwanakijiji, ni wale wanaotetea uovu, upendeleo na ubaguzi katika teuzi za Rais.
Ni Thomas Mihayo peke yake ambaye ni Mkristo aliyeteuliwa kuwa Jaji kutoka katika uwakili wa kujitegemea ...katika hao majaji amabao walikuwa Mawakili wa kujitegemea most, if not all ni wa madhehebu ya Kiislamu...Huu nao ni uongo?