Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Nothing new
  • Ni kweli hakuna Jipya kwa Tv1 & A1 cccam
  • Karibu
m_coollogo_com_23880920.jpg

 
Hii no illegal kama unatapeliwa so ukanunue dstv tuacheni wenyewe tuinjoi ns mautapeli
 
Ndugu LolowapiJe kuna huduma yeyeyote uliyowahi kupata toka kwangu ?

Kama jibu ni ndio.

Je ni huduma ipi niliyokupa na ni tatizo lipi umekumbana nalo na kunijulisha na sijakupa msaada stahili?

Karibu
  • Mkuu lolowapi tulia japo kidogo na jenga Hoja juu ya utapeli unaozungumzia
  • Jibu basi japo hayo maswali machache niliyokuuliza
Mkuu fungukeni huyu ni tapeli kabla hajakuuzia anakupa moyo akishakuuzia anaanza sound.mimi aliniuzia A1 akasema inapata supersport baada ya hapo ni majanga.kifupi huyu ni mwizi tu.
Acha utapeli na kauli zako za kufariji.
Mkuu huu ni utapeli baada ya wiki mwezi utasikia bestcam chenga.kuna mwlcam kwa kifupi jamaa ni wapigaji tu na uwongo mwingiiii.
A1 hata miezi miwili bado mmetoa nyengine ila nyie kazi mnayo.
Hawa ni matapeli tu.punde mtagundua.
  • Ni vyema ukatumia facts, kuelezea umma, badala ya jinsi hivi unavyo kurupuka
  • Nasubiri majibu ya maswali hapo juu, Ila kwa sasa pitia hizi comment mbili za mdau zinazokuhusu moja kwa moja
Usikurupukie thread za watu kuandika Pumba ambazo hazijengi bali zinabomoa am just furious on you[emoji35] maana kila kukicha unalalama tu kwenye thread za #wlm_rct , I just warn you Si entertain Urofa katika thread yangu you either come here for service or read my updates and comment in a polite and intelligent manner hapa ni kama ofisini kwangu uwezi kuja hapa kunipandishia wakati sikujui na wala sijawai kukupa service,Kwa nn usiwafate walokuuzia hiyo huduma?

We jua kwamba
#Trusted_users wa TV1 wako wanakula maisha wewe kama sio mmoja wapo labda ulipata kutoka kwa unknown dealer hapo ndo game litakua gumu kwako utasubiri mpaka uchoke tu

Narudia Si entertain Urofa katika kazi yangu kama nilikupa Service mm njoo hapa ulalamike na ntakupa msaada ni uwezao na sio kutoa maneno ya kejeli wakati wewe mwenye ni mtumiaji Tegemezi/Addicted user wa hizi server za IKS ndo maana unashinda kwenye thread hii ukisoma

Kwa kukujulisha ni kwamba Bestcam CCcam hii server ipo tokea November 2014
Na watu wachache wanamjua mmiliki na isingeweza kuuzwa sababu ilikua haioneshi SS3 na Max 1 ila as per end of January 2015 server imeweza ku clear tatizo na inafungua SS3ni,SS3 na Max 1 at an unbeatable stability

Na kitu ambacho unajisahau wewe
#lolowapi ni kwamba tunawaibia DST> hivo ukijiingiza katika hii gemu jua anything can happen the only way is how to solve it na sio kupiga kelele
And am here to solve your problems regardless haukupata huduma hiyo kutoka kwangu lkn unapokuja na maneno ya kejeli,get assured kwamba siwezi kuku spare hata siku moja am very humble kwa watu ambao wako humble ila ukileta ujinga wa kunishambulia mm bila sababu yoyote ya kimsingi get assured ntakulipukia more so unaponishambulia wakati huduma haukupata kwangu na alokuuzia labda yuko anakula kuku kwa mrija[emoji35]

Ni bora ungekuja kwa gentle approach kuuliza kwa nn TV1 yako haioneshi na utapata vipi msaada kuliko kumkurupukia njunwa wamavoko ambae hata hajakuuzia hiyo huduma....
I repeat,go and stress your dealer na sio mm sababu sikukupa hiyo huduma ba harsh words hazitokusaidia kitu as I know hiyo bestcam ikiuzwa na wachina kesho au kesho kutwa lazima utainunua tu kataa usikatae

Am very furious whenever mtu akijidai kunishambulia

Na pia kuonya mara ya pili maana nshakuonya kule JF tech kwamba uache roho ya kibinafsi unataka uwakate tamaa watu wengine wasitumie IKS acct wakati wewe ni mtumiaji wa IKS kwa 3yrs....
Na bado unashinda kwenye thread zetu kupata updates za kinachojili ila unanishangaza unapoanza kuleta ufuska
na maneno yasio kuwa na kichwa na miguu?
Who told you this a legit service?
Unajua DST> analipa bei gani kwa irdeto2 anti piracy department?
Just grow up
#lolowapi whatever you have enjoyed is enough kama hauja enjoy basi omba refund au omba service backup kwa mtu alokuuzia

Usije fikiri kuna Server itaishi milele,hamna hicho kitu kuna trick zaidi ya 5 kuchakachua DST> na kaa ukijua every 3-5months lazima moja ife ni wewe kuomba Kampuni yako inunue trick nyingine....
Unafikiri trick hizo watazinunua vipi kwa maneno yako hayo ya kibinafsi ya kukatisha tamaa watu?
Irdeto2 trick ina cost 5,000$ (excluding Server running environment) kama ulikua haujui,au wewe unafikiri hizi ni kampuni kubwa?
These are just individual people wamejitoa muhanga ili na sisi wa kipato cha chini tuweze kuburudisha familia zetu
You must support IKS technology by words and contributions by buying services or less tutarudi kule kule kuwa tunalipia 150,000/= kila mwezi kuweza kuona significant channels

I repeat,ukinivamia siku zote waweza kuniona mbaya

Nafikiri utakua umepata somo zuri kwenye article yangu hii na tabia yako ya kibinafsi nafikiri itakua imeisha

Unatapeliwa kuwa makini mkuu,hawa jamaa wapo kipesa zaidi.

Mkuu hawa jamaa ni wahuni kazi yao ni kufariji watu tu lakini ni utapeli mtupu.

Huu ndio upuuzi ninao uzungumza .najuta kuingia kwenye hivi vidude.

Huu ni utapeli matangazi mazuri nunua sasa full majanga.
Mkuu nakusoma ila sikuelewi kila siku kwenye thread ya mwl rct

Wewe unatumia huu mwaka wa tatu yaani just imagine 3yrs unatumia dongle afu hauna aibu unazi dis?

Kama ni kero kwako si uziache?

Mm nafikiri kuna utamu ndo maana unaendelea kuzishikilia...

Sasa usikimbilie kudis wauzaji wakati wewe ni mtumiaji sugu wa hivi vidude, just imagine 3yrs!!!

Sasa si ujichomoe....sio kila mtu anaweza kutumia IKS decoders au accts

There are special people,may be you are among them ndo maana bado unatumia for 3yrs

Just wise up kama hauwezi achia game,benefits outweigh risks
  • So far ninachoweza kusema lolowapi Tulia Jenga hoja
 
  • Mkuu lolowapi tulia japo kidogo na jenga Hoja juu ya utapeli unaozungumzia
  • Jibu basi japo hayo maswali machache niliyokuuliza





  • Ni vyema ukatumia facts, kuelezea umma, badala ya jinsi hivi unavyo kurupuka
  • Nasubiri majibu ya maswali hapo juu, Ila kwa sasa pitia hizi comment mbili za mdau zinazokuhusu moja kwa moja










  • So far ninachoweza kusema lolowapi Tulia Jenga hoja

Lolowapi yupo yupo sahihi mko kipesa zaidi accounti ulinipa haifungui
 
Lolowapi yupo yupo sahihi mko kipesa zaidi accounti ulinipa haifungui
  • Je ni ipi kati ya hizi:- gshare, Killer, Newcam, Bestcam, A1 or Tv1
  • Ila Tuwe na subira hali itakuwa shwari soon, Kama ilivyokuwa awali.
 
Ninachoandika nina ushahidi nacho ,nilinunua account ya A1ccam kwa mwl crt nikamuuliza inafungua ss1...9 akasema ndio,baada ya kulipa 75000 ukaniambia ukaniambia ndio wapo kwenye mchakato wa kuziweka shame on you.
Tv1 ilikuwa inafreeze sana nikakuuliza alternative ya A1 ambayo ni stable ukaniambia ni Tv1 wakati unajua tv1 ni kimeo kwa wakati huo .punguza utapeli wewe ni tapeli sana.
 
Ninachoandika nina ushahidi nacho ,nilinunua account ya A1ccam kwa mwl crt nikamuuliza inafungua ss1...9 akasema ndio,baada ya kulipa 75000 ukaniambia ukaniambia ndio wapo kwenye mchakato wa kuziweka shame on you.
Tv1 ilikuwa inafreeze sana nikakuuliza alternative ya A1 ambayo ni stable ukaniambia ni Tv1 wakati unajua tv1 ni kimeo kwa wakati huo .punguza utapeli wewe ni tapeli sana.
  • Nimekusoma vyema, Sasa nimekuelewa
  • Kuhusu CCcam kwa ujumla - Iliyo nzuli leo sio ndio itakuwa nzuli kesho kuna factors nyingi zinazochangia
  • Je kuna ambaye hafahamu Uzuliwa Tv1, A1 wakati ziko kwenye peak , Wote tulifahamu, Na wote tulinunua na kutumia Tv1
  • Je ni kwanini tulaumiane linapotokea tatizo???, Ni jukumu letu kuangalia alternative na jinsi ya kukabiliana na tatizo
  • Lolowani si kweli kwamba ni wewe pekee ndio umeguswa na hili tatizo la hizi account.
  • Ni wote wewe na mimi pia , na watumiaji wengine - Ukizingatia fedha ni ngumu
  • Ni vyema busara ikatumika pindi matatizo yatokeapo badala ya kushambuliana kama ufanyavyo.
  • Karibu 0784 496 856
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom