Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,798
- 22,131
Hivi gharama ya receiver na dish la ft8 kwa sasa ipoje?Hii huduma ya kulipia ilikuwa miaka hiyo, kwa sasa hakuna hii huduma.
Unachoweza kufanya ni kununua FTA receiever na dish la FT6 au FT8 na ukapata fundi mzuri akakufungia FTA channel.
Zaidi kuhusu FTA channel soma hapa:
#1. African Satellite World and Sat Gear
#2. Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6