SIMBA inashuka daraja kama utani

SIMBA inashuka daraja kama utani

Mpwa ndio hatupo vzr ila daraja hashuki mtu na tukikutana na yeboyebo kipigo kipo palepale
 
Fowardi butu Maguli anarukaruka,mbele kumekufa kabsa Mpoto naye hakuna kitu,Okwi naye kwango kmeshuka,mido msumbufu kama Kazimoto hatuna yani kule mbele ni kufumua,kuna wachezaji wazuri Tanzania kuna jamaa moja wa Coast jezi namba 8,Simba wakipata mchezaji kama yule naisi angewasaidia sana,sema sipo tu kwenye benchi la ufundi
 
kwani kuna mzungu simba? aondoke atuachie timu yetu

Tatizo sio mzungu, ebu jiulize!
Leiwig, Kibaden, Lugarosic, Phiri, na huyu wa sasa ndani ya miaka 2 tu?
Mi nionavyo, phiri alitakiwa apewe muda zaidi. Kwa hali ilivyo sasa, kocha mwingine anakuja tena! Hata aje Mourinho, kwa spidi hii tutaendelea kuwa vilaza!
 
Nikisoma maoni haya nashindwa kuelewa kama kweli aliyeandika anaelewa vizuri sula linalojadiliwa hapa na kama kweli anaelewa mpira (soka) unavyoendeshwa. Maana anadai samba inamptezea muda halafu wakacheze umishumta na umiseta vitu vyote hivi haviwezekani katika uhalisia wa mambo

....subiri ishuke bwana mdogo,utanielewa tu,na hao samba wataomba poo mwaka huu...
 
Tatizo sio mzungu, ebu jiulize!
Leiwig, Kibaden, Lugarosic, Phiri, na huyu wa sasa ndani ya miaka 2 tu?
Mi nionavyo, phiri alitakiwa apewe muda zaidi. Kwa hali ilivyo sasa, kocha mwingine anakuja tena! Hata aje Mourinho, kwa spidi hii tutaendelea kuwa vilaza!

inakera sana mpira wa Tanzania majungu na maslahi binafsi,
 
Kwani SIMBA ya ngapi katika msimamo... na mechi zimebaki ngapi ligi kwisha!!..... Nyie kandambili kama simba inafanya vibaya si ndo mnatakiwa kufurahi,, sasa maneno ya nini..!!! Tuachieni timu yetu tunajua tunapitia kwenye kipindi gani... Nyie endeleeni kununua mechi mkikutana na wanaume huko nje mnapigwa mnarudi kwenye ligi yetu ya ndondo
Mnapitia kwenye kipindi gani?sports leo?,weekend show?lete raha?chombeza time?kumepambazuka?chaguo la msikilizaji au muzik na michezo?
Hawa stand United watakua wamepewa skills na Kocha wa Mwadui c bure
 
Tatizo kubwa la simba ni ukosefu wa umoja na hivyo timu kua vipande vipande.Hii inaadhiri mpaka wachezaji kwanza hawapati posho kwa wakati mara wanazuiwa kutoka hotelini kisa timu imeshindwa kulipa.Hili ni tatizo.
 
Haiwezekani Simba leo ikacheze ndondo kahama ili ipate hela ya mafuta ya basi.Viongozi wako wapi?timu inavitega uchumi vya kutosha iweje leo tukose hela ya kujaza mafuta kwenye basi au tuzuiliwe kuondoka hotelini tanga?
 
Aveva na uongozi wake timu imemshinda mapema sana! Alafu Aveva mwenyewe ka garasa tu pale, maana ni wale mamafia wawili ndo wanaoonekana wenye sauti.
 
Msipomuongelea Mume wenu naona vitoto mapacha viwili tulivyowapa Disemba vinacheza cheza tumboni?
acha kubwabwaja kama mbumbumbu asiye jielewa tulieni msikilizie utamu wa liki.....mikia bwana naichukia kuliko neno lenyewe kwanza hamtofautiani na mfu anayetembea,,mmeshajifia mnasubiri kuzikwa tu(kushuka daraja)
 
Kwani wewe tulipokutungua 5-0 Ulishuka daraja, au JKU alipokubonyeza kimoja mlijifia? mbona ni matokeo ya kawaida ya uwanjani, Simba sio wapumbavu na mabwege kama nyinyi kuhonga kila mechi mamilioni ya fedha kwa ubingwa wa milioni 70.
 
huna upeo wa kufikiri ww mtu wa mikia simba is gone until 2020 if god wishes
 
Kwani wewe tulipokutungua 5-0 Ulishuka daraja, au JKU alipokubonyeza kimoja mlijifia? mbona ni matokeo ya kawaida ya uwanjani, Simba sio wapumbavu na mabwege kama nyinyi kuhonga kila mechi mamilioni ya fedha kwa ubingwa wa milioni 70.

Simba mna njaa tena kali na bado mtapigwa mechi 4 zingine mpaka ligi inakwisha,endeleeni kuongea utumbo wenu mambumbumbu FC
 
Kwa mwenendo wa ligi Simba mwaka huu inaelekea kuaga Ligi Kuu na kucheza ligi Daraja la Kwanza.

Llakini hii inatokea kama utani vile japo ni swala la muda na wengi hawataamini
Nenda ukanye wewe, mapera ule mwenyewe usumbufu utuletee klabuni kwetu. Toa inzi hapa.
 
Simba mna njaa tena kali na bado mtapigwa mechi 4 zingine mpaka ligi inakwisha,endeleeni kuongea utumbo wenu mambumbumbu FC
Umeanza kuvaa kilemba mwisho wa siku utavishwa kanga za India na shanga za kimasai kwa umbea wa kuingilia kati mambo ya nyumba ya pili. Mbona Yanga miaka 3 iliyopita ililala Mbeya mzungu wa 4 Kocha wa watu mzungu aliposema ukweli ukata ulivyo ndani ya klabu mkamtimua kwani uliona Simba yeyote aliongea???
 
Unarusha jiwe hewani eehh unaogopa nini lenga kwa muhusika uone kama hujapigwa na silaha ya maangamizi mtoto mzuri...
 
sahau maishan mwako kua mnyama atashuka daraja ila ww kwakua ni mtabir haya tumausibiria huo utabir
 
Kwa mwenendo wa ligi Simba mwaka huu inaelekea kuaga Ligi Kuu na kucheza ligi Daraja la Kwanza.

Llakini hii inatokea kama utani vile japo ni swala la muda na wengi hawataamini
Mpiga ramli, bado unatetea kauli yako? Au ninyi ndio wale wanaojidai kutabiri kwa kufuatana na mwenendo wa wakati huo tu? Ningependa uje hapa utetee hoja yako
 
Back
Top Bottom