Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Asante sana Mwl RCT kwa hiyo shared account hata net iwe nzuri itakata tu?
 
Je inaweza pata hizo Canaly na EUTESAT 36/A
> Hapana kwa sasa haiwezekani
> Ila wakati wowote A1 Server ikirejea usisite kuwasiliana nami
> Ni A1 pekee inayofungua canal na Eutelsat 36E kwa wakati mmoja
> Karibu sana
Mwl.RCT mi nina receiver Aina ya STRONG 4930L HD,Ina DVB S2 Na dvr,MPEG4,HDMI,Sehem mbili za card,na flash,je inaweza pata hizo Canaly na EUTESAT 36/A
 
  • Ni hakika itaendelea kukata
  • Hata uwe na speed ya 4G [ kama vile unatumia smile network ] itaendelea kukata
Asante sana Mwl RCT kwa hiyo shared account hata net iwe nzuri itakata tu?
 
  • Thanks
Reactions: AMB
kinachokera zaidi badala ya ku·Concentrate kwenye huduma mlizoto mwanzo mnaendelea kuuza zaidi hizi product wakati services zenu bado ni hafifu.........

Hawa ni matapeli tu.punde mtagundua.
 
bw_2.jpg


bw_1.jpg

 
Je ni utapeli upi niliyokufanyia?

Ni hatua gani umechukua?

Karibu

Msanii tu ulitaka kuniuzia account ya tv1 cccam nikakuuliza ipo fresh ukasema iko fresh,kumbe nilishamuuliza mtu mwengine kwamba haipo hewani.wewe unachohitaji ni hela tu mwizi mkubwa.
 
Mwl.RCT mi nina receiver Aina ya STRONG 4930L HD,Ina DVB S2 Na dvr,MPEG4,HDMI,Sehem mbili za card,na flash,je inaweza pata hizo Canaly na EUTESAT 36/A

Unatapeliwa kuwa makini mkuu,hawa jamaa wapo kipesa zaidi.
 
mwalimu hiyo shared test account mbona siioni, heb npatie na mm.Tena nltaka kushauri uwe unatoa test account katka kipindi ambacho account flan inasumbua.
 
Mimi nawashangaa Wanasema mwalimu ni tapeli.Nipo kwenye magroup ya watsap na fb na wanigeria, waghana na wasenegal kote huko TV 1 na a1 account ni majanga.Afu lazma tujue huu tunaofanya ni kama uhuni flan, dstv wanaibiwa hvyo kuna vita ya kitechnolojia kat ya wachina wetu na dstv.wachina wakifanya hichi mambo yatulie, dstv wanafanya vile kutibua.All in all wachina gharama zao zipo chini sana.Gharama unazolipa dstv kwa mwezi ili kupata Ss3, kwa wachina unapata account ya mwaka.Kama una hela lipa hiyo laki moja kwa mwez dstv, kwa mwaka zaidi ya million ila ss wa kipato cha kawaida tutakomaa na mwalimu. Cha muhimu kuwa na decoder nyingine kutumia kipind wachina wamezingua
 
In Stock

> CCCAM kwa miezi Sita TSH 75'000

> Aina zote za MPEG4 HD Receiver zilizo kwenye post #1

> Wasiliana nami sasa

Mawasiliano
  • skype: mw1rct
  • whatsapp: +255 784 496 856
  • Call/sms: 0717 54 57 62 & 0784 496 856

NB: Kwa watumiaji wa BEST HD4U - weka off server1 na weka ON autoconnect kwenye server2 na endelea kutumia[ ila kidogo siyo stable] , Iwapo utapenda waweza ongeza cccam nyengine kwenye server4 kama backup2- Wasiliana na mi kwa usaidizi kama utakwama

 
Kwa sis ambao tumeshalipia ya mwaka mzima ndo shida kabisa mkuu nililipia tv1 a/c ya miez 12 last time ilisumbua ukanibadilishia uliyonipa ikawa majanga zaidi sasa unaponambia nifungue a/c nyngn dah inaumiza mkuu sion hata faida ya kuwa na hiyo qsat kwa hali hii
 
Fuata Hatua hizi Chache
  • Nunua moja ya Hizi MPEG4 Decorder zilizopo kwenye hii thread
JINSI YA KUPATA DECORDER HIZI: 1. Pay & Pick on Spot - Kwa wakazi wa Dar Es Salaam na 2. Wale wa mikoani utatumiwa kwa njia ya basi na utalipia zaidi TSH 10'000 ya kusafirishia
  • Pili Pata CCcam Account
BEI YA ACCOUNT KWA AINA ZOTE ZA IKS DECORDER 3 Month CCcam TSH 65'0006 Month CCcam TSH 75'00012 Month CCcam TSH 110'000
  • Kwa msaada zaidi mahala ambapo hujaelewa wasiliana nami.
Mawasiliano
  • skype: mw1rct
  • whatsapp: +255 784 496 856
  • Call/sms: 0717 54 57 62 & 0784 496 856
mkuuu nipm na mimi kumbe tatizo hili tuko wengi
Mwl.RCT funguka zaidi wengine umetuacha
 
CCCAM

  • Miezi sita (6) TSH 75'000
  • SS Channel zote zinafunguka kwa stability kubwa
  • More info! call Now 0784 496 856
 
Msanii tu ulitaka kuniuzia account ya tv1 cccam nikakuuliza ipo fresh ukasema iko fresh,kumbe nilishamuuliza mtu mwengine kwamba haipo hewani.wewe unachohitaji ni hela tu mwizi mkubwa.

mkuu haya ni maisha na wote tunatafuta kwa namna tofaut ila kama hukumpa hela yako na wala hakukuzia ukarudisha akakata kukurudishia fedha yako ama kukupa mbadala mwingine sio poa kumchafua mtu kwa jambo ambalo halijatokea. Ingekuwa ww unachafuliwa hivyo ktk eneo lako la kazi ungejisikiaje???
 
CCCAM SCREENSHOT


  • Ili kupata account yako ya cccam call/sms 0784 496 856
  • TSH 75'000 kwa miezi sita (6)
m_20140101000214.jpg

m_20140101000236.jpg

m_20140101001431.jpg

m_20140101001523.jpg

m_20140101001602.jpg

m_20140101001723.jpg

m_20140101001750.jpg

 
Tech. Point of View - cline vs nline

cline is from a CCcam server
nline is from a Newcamd server

Newcamd takes advantage of cached ecm's too enable faster channel zapping and requesting less fresh ecms
CCcam is an older cam, still very good but can sometimes cause the occasional freezing with N lines

If you are looking for either nline or cline, Pls call me 0784 496 856 , nline or cline - available @ TSH 75'000/Six(6) Month

 
CCCAM SCREENSHOT


  • Ili kupata account yako ya cccam call/sms 0784 496 856
  • TSH 75'000 kwa miezi sita (6)
m_20140101000214.jpg

m_20140101000236.jpg

m_20140101001431.jpg

m_20140101001523.jpg

m_20140101001602.jpg

m_20140101001723.jpg

m_20140101001750.jpg


Sasa Mwl Rct hizi picha ni account ipi ya cccam unayotumia?Maana A1 na TV1 nadhani bado hazijawa hewani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom